Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Juzi tu hapa nimeweka Posti kwamba katika taarifa za Mauaji ya Mwangosi, si tu kwamba Polisi haina uhusiano mzuri na Waandishi wa Iringa, bali Polisi haina uhusiano mzuri na Wananchi wote wa Tanzania!
Mimi binafsi nasikitika na mauaji haya, lakini ukweli ni kwamba sisikii uchungu juu ya kuuwawa kwa huyu RPC ambaye juzi tu hapa alikuwa akifanya kejeli Polisi walipotaka kumuua Ofisa Uhamiaji.
Mauaji ya huyu RPC liwe onyo kwa Polisi wote nchini, kutia ndani na RPC wa Iringa, kwamba wanapaswa kuwa na uhusiano mzuri na raia, kuacha unyanyasaji na kutii maadili ya kazi zao. Wao, kama watu wengine, wana "ulika" pia, wasidhani kuwa kwao Polisi basi wanaweza kuwachezea raia wengine bila baadhi ya raia hao kujichukulia hatua mkononi. Nilisema wasidhani kwamba kila Mtanzania ni mjinga wa kukubali unyanyasaji wowote Polisi inaotoa.