Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
inawezekana walitumia silaha yake kummaliza, kwani walijua vinakuja "vitu vyenye ncha kali virukavyo" wakachukua hatua ya kuvidhibiti.
Funzo kwa polisi:
Nao wana miili ya nyama!!!
je huyo mama anaporudi saa nane je mume huwa wapi?
Je huyo mume alisha muonya rpc, na mke wake?
Je rpc hakuogopa kufika eneo jirani na mwenye mke?
Je alikuwa amelewa hivyo kudharau hatari iliyompata?
waambie hao polisi jamii wahamie Iringa na Morogoro...