TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka maeneo ya jamaa.
Mkuu mbona inasemekana hule mama ni mjane tangu 1997 alipofariki mume wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka maeneo ya jamaa.
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
malipo ya uzinzi hayo kama ni kweli alikuwa na mke wa mtu
Kuna thread humu umebeba gazeti la Nipashe ambapo walimu wenzie na Doroth [mwanamke aliyekuwa na marehemu Barlow] wanadai Doroth ni 'mjane'. Sijui hata niamini kipi.
Hujakosea. Na alipofiwa aliachwa na mt6oto mmoja, lakini sasa ana watoto wawili zaidi! Je kama hawakuwa wa Kamanda mama huyu alizaa na nani?
Usinambie kuwa alizaa na 'kamanda'!
Hii ndo JF, ungeniunganishia huo uzi ningefurahi saanaSio kuzaa na kamanda Barlow bali alizaa na kibopa mmoja wa kihaya aishiye Dar, na huenda ni huyo waliyemtia nguvuni na kumpeleka Mwanza, hiyo thread ipo humuhumu
Usinambie kuwa alizaa na 'kamanda'!
Mkuu mbona inasemekana hule mama ni mjane tangu 1997 alipofariki mume wake!
Kweli alifariki kwa presha na si ngoma kama wengine wanavyodai,