"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...


Usalama wa mwenye mke na mali zake umerejea na kuimarika.
 
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka maeneo ya jamaa.

Kwi kwi kwi kwiiiii,jamani huyu ni ritz wa kichina au yule yule wa magamba??nimecheka sana wallah.
 
Dast ist Tanzanie
 
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka maeneo ya jamaa.

Ye si kamanda bwana mali na wenyemali vyote ni mali yake.Mguu wa kuku ulimpa kiburi
 
Hivi muke anarudi saa nane home eti alikuwa kwenye kikao!mhhh wanaume tunazidiana upendo jamani.

Mume wake anajiamini.
si unajua wanapendaga wanaume wanaojiamini(kwa definition yao potofu).
 
je huyo mama anaporudi saa nane je mume huwa wapi?Je huyo mume alisha muonya rpc, na mke wake?Je rpc hakuogopa kufika eneo jirani na mwenye mke?Je alikuwa amelewa hivyo kudharau hatari iliyompata?
Makene kijana mwanasheria na ni kada wa chama cha mapinduzi, siku zote miwani haitoki kwenye paji la uso wake, mbona maswali mengi kamanda makene?
 
Mwema alisahau "kulikuwapo na kurushiana risasi",kova angepika data kama angepewa fursa ya kufunguka at first place.
 
Naye atapigiwa mizinga kwenye mazishi?
 
Tatizo ni kwamba huyo mama anaisaidia polisi ambayo mwisho wa siku itaficha ukweli na kusema yale yawapendezayo. Ila hiyo ndio picha halisi ya maadili ya viongozi wetu.

huyo mama anawasaidia shemeji zake (polisi)
 
ndio jadi ya polisi wa mwanza kula mali za watu?
majambazi watakuuwaje kama hujakaidi maagizo yao?
mbona hawajaiba gari au fedha? kuna kitu zaidi ya tujuavo

Haya mauaji ya RPC wa Mwanza yangeweza kabisa kuepukika kama wakubwa ndani ya Jeshi la polisi pamoja na wizara ya mambo ya ndani wangekuwa wanathamini wananchi. Almost nchi nzima watu wanalalamika kuhusu OCDs, RPCs na ukija makao makuu ndio basi tena. Hawa watu wamegeuka miungu watu.

Raia ndio 'wamiliki' wakubwa wa amani nchini. Lakini ukimnyanyasa raia, au ukampiga mabomu kinyume na sheria maana yake umeondoa akiba ya 'amani' and what you are left with ni kuviziana na hivi ilivyofanyika kwa RPC Barlow. As sad as it is, IGP na wenzie wakubali sasa uhusiano kati ya polisi na jamii hakuna (non-existant). Na watumie fursa hii kujipanga upya vinginevyo watu wataendelea kuviziana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…