Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watamu lakini mwisho wake mauti. R.I.P KAMANDAKuna watu humu walikuwa wanasifia kwamba wake za watu watamu. Huo ndio utamu wake!
Mh!
Polisi jamii kumiliki silaha ya moto?
Naye atapigiwa mizinga kwenye mazishi?
Hii inadhihirisha udhaifu mkubwa wa kiutendaji na kimbinu alivyokuwa navyo Kamanda marehemu. Ni dhahiri kwa jinsi alivyouawa kitoto hakustahili kupewa vyeo alivyokuwa navyo. Kamanda makini angetafuta back up kabla ya kujitokeza mwenyewe kufanya mahojiano vichochoroni.
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.
Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========
-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.
MY Take:
-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.
what goes around come around
simple sana, alikuwa anamdanganya anakwenda kukagua doriaDa inanikumbusha wimbo wa bahati bukuku Dunia haina huruma,Mke wake sijui alikuwa anamdanganya nini kila mara anarudi kesho yake home.
Scheiße wieder Scheiße sein!
Usalama utarejea kama alikuwa anakula kwa kinga maana Libe mwenyewe mke alishakufa na yule Asha wa Tabora alishakufa, ngoma!!! Doroth naye si mjane kama sijakosea? Na ujane wenyewe pengine nao wa Ngoma!!!
Khaaaaaa!!!