"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Hivi mtu akipata cheo ndiyo idhini ya kutembea na mke wa mtu?Cheo ni dhamana hivi huyu RPC alidhani kuwa alikuwa mjanja. JF lete ukweli wote hapa watajijua na CCM yao!
 


Weeeeeee cheo kama kile chake lazima ujifanye unatafuta misifa, halafu wanaume wanavyopendaga sifa au hawataki kushindwa especially wakiwa na wanawake ndio yamemkuta hayo wenzie wapo watano yeye yupo mwenyewe anataka kuonekana kwa mwanamke kama yeye ndio yeye ndio hayo yaliyomkuta
 
Acheni wafu wawazike wafu wenzao.
Kesha kufa huyo,acheni familia yake imzike.
Yanini kukuna kichwa?
 

The Boss naomba ufafanuzi wa Neno"revelatiöns." ntarudi kumwaga koment yangu.
 
Inaelekea suala hili linamushkeli sana, hata ulcotueleza Baija bado ina maswali meg:
- Huyu mkuu alikuwa na azoea haya na mama huyutu auna wengne?
- Kwa nini 'polisi jamii' imuue? Kwa kunyanyua radio call?

Hii inaonekana ni inside job zaidi but hatutaambiwa ukweli kamwe!
 
Kwa cheo alichokuwa nacho huyu jamaa asingetakiwA kuwa nje usiku mwenyewe. Huu ni udhaifu wa kufikiri na kutoheshimu serikali iliyompa hayo madaraka. In short, he died in the midth of doing something fishy, most likely , as most of folks have speculated, chasing somebody's muwife
 

Is this Germany or Swedish?
 
Hivi huyo Barlow si ndiye kamanda ambaye alimpigia simu yule Ofisa Uhamiaji wa Mwanza (aliyetaka kuuawa juzi) ili awasuluhishe na yule OCD anayemega eksiwaifu wa huyo ofisa? Kumbe naye anamega waifu wa mtu mwingine!! Duh.....dots ni nyingi za kuunganisha.

IGP anajitahidi kuficha ukweli lakini hakuna cha polisi jamii wala majambazi, tatizo ni UNETHICAL ISSUES WITHIN THE INSTITUTION...period.
Vitamu wakati mwingi huwa ni SUMU, haimati kama ni mke wa mtu, biskuti au pipi.

RIP Kamanda.
 
Nivea mkali wa lugha,kamanda akale ugali na mwl.
 
Scheiße wieder Scheiße sein!
 
Usalama utarejea kama alikuwa anakula kwa kinga maana Libe mwenyewe mke alishakufa na yule Asha wa Tabora alishakufa, ngoma!!! Doroth naye si mjane kama sijakosea? Na ujane wenyewe pengine nao wa Ngoma!!!
Khaaaaaa!!!

Stori za mtaani hizi, we umepima? Wote wanaokufa siku hizi ni kwa ngoma peke yake? Magonjwa mengine hayaui?Kabla ya ngoma miaka ya sabini watu walikuwa hawafi?Ficha upuuzi wako usifiche busara zako. Hao wenye ngoma mbona leo hii ni kibao na wanaishi na kupiga mzigo kuliko wewe ''usiyejifahamu''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…