misoza Gete
Member
- Sep 28, 2012
- 58
- 21
nimelewa na wingi wa taarifa zisizo rasmi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimelewa na wingi wa taarifa zisizo rasmi
na ndio maana wengi siku hizi wanafurahia vifo vyao.Tatizo ni kwamba huyo mama anaisaidia polisi ambayo mwisho wa siku itaficha ukweli na kusema yale yawapendezayo. Ila hiyo ndio picha halisi ya maadili ya viongozi wetu.
Risasi iliingilia juu ya bega la kushoto (upande wa abiria) na kuingia shingoni na kutokea upande wa pili. Nani aliyeifyatua? Ni abiria (Mwalimu Dorothy)? Ni 'polisi jamii' watatu waliokuwa upande huo wa gari? Maana imeripotiwa 'wavamizi' walikuwa watano; wawili walisimama upande wa dereva (Barlow) na watatu upande wa abiria (Dorothy). Mtoto aliyekuja kufungua geti kasema wale waliokuwa upande wa abiria walimpora 'mama' pochi yake, it's unlikely walipora pochi huku wanafyatua risasi. After all mgomvi wao alikuwa dereva, ndiye waliyekuwa wanazozana naye. Na pia sitarajii wafyatue risasi kuelekeza upande waliko wenzao wawili maana ingewadhuru hao wenzao. Nabaki na mwalimu Dorothy. Kuna uwezekano alifyatua yeye risasi kwa tendo la kujihami mambo yakaenda kombo. Mtu mwenye ukaribu kama huo na RPC si ajabu alishawezeshwa kumiliki bastola. Na alitumia mkono wa kulia ambao isingekuwa rahisi kwa wavamizi waliokuwa kushoto kwake kumuona ili kuepuka kunyang'anywa. Baada ya kustushwa na alichokifanya (kumuua RPC) ali-panic, na hii ikarahisisha tendo la wavamizi kumpora bastola yake na kumsachi marehemu.
Kwa kuwa hakuwepo shahidi mwingine, na ili kukwepa hatia ya 'kuua bila kukusudia', Dorothy akatunga maelezo ambayo kila anayeyasikia anashangaa.
Kaka mama hana kosa hata kidogo, wamuue huyo mama kwani yeye ndo alimuua Mwangosi? Wale wametetea maandiko kuwa ukiua kwa upanga nawe shuruti ufe kwa upanga. Well done police jamiinadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??
