Kentashkila msimu huja na kuondoka inamana ukiwa juu,kifuatacho ni kudondoka.,duuu.! Huyo jamaa nae ipo tu day yake..
hehehe dah! wewe na babu aspirin mkiona mumevimba migoko mjue nimewaloga tayari.Oyeeeeeee!!! Klorokwin bado yuko kwenye siku yake hajamaliza
fellow tablet nikifanya kosa la kukushirikisha kwenye hii sredi, utaharibu mipangilio yote. hiyo kwa niaba ya famasi tutaandika kule "akilia sana karibu kutunguliwa", si unakumbuka lile bundi la mwanakijiji?Ubaguzi mwingine hata haufai!
Hakuna hata kwa niaba ya vidonge vyote vilivyopo famasi?
honeymoon loliondo.Mmh alafu unipeleke wapi Kloro?
dah! nilipofika post hii ghafla nimejiskia kiu. yaani imeniongeza joto la mwili kweli. siponi mie jamaniKlorokwin day hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!
dah! nilipofika post hii ghafla nimejiskia kiu. yaani imeniongeza joto la mwili kweli. siponi mie jamani
hivi bado unauliza? khaaaa! Keren jamani! mwenzio kucha hazioti kwa kukuwaza weweCan I help?...
hivi bado unauliza? khaaaa! Keren jamani! mwenzio kucha hazioti kwa kukuwaza wewe
sasa si unaona umeanza kuongea kijitu kizima. yaani aspirin likiona hii post lazima liombe ban. khaaa! ramani tupeane pembeni hapa magadaffi wengiSasa kwanini upate shida zote hizo jamani, mpka kucha hazioti...lol??!! Keren yuko at home, please pay her a visit..🙂
hehehe namaliza kesho halaf zinaanza za ze finest. kamfanyie shopping kabisaMe like kklorokwin akiwa kwenye siku zake
Hopeful kila siku ni siku yako neighbour..
sasa si unaona umeanza kuongea kijitu kizima. yaani aspirin likiona hii post lazima liombe ban. khaaa! ramani tupeane pembeni hapa magadaffi wengi
acha nitafte tochi nikuje, tanesco wako online.Haya bana.. tuonane hapo nje!!!
acha nitafte tochi nikuje, tanesco wako online.
hehehe namaliza kesho halaf zinaanza za ze finest. kamfanyie shopping kabisa
Huu sasa ndio urafiki wa mashaka, tunakosa ushirikiano watu wanatukimbia na kuweka kambi Loliondo.fellow tablet nikifanya kosa la kukushirikisha kwenye hii sredi, utaharibu mipangilio yote. hiyo kwa niaba ya famasi tutaandika kule "akilia sana karibu kutunguliwa", si unakumbuka lile bundi la mwanakijiji?
:tongue::tongue: We Keren humjui my fellow tablet? atakutongoza...shauri yako!Can I help?...
hivi bado unauliza? khaaaa! Keren jamani! mwenzio kucha hazioti kwa kukuwaza wewe
Ebo, tayari ushakuwa ubinzi wa kule kwenye domicile ya mchungaji wa Loliondo?Sasa kwanini upate shida zote hizo jamani, mpka kucha hazioti...lol??!! Keren yuko at home, please pay her a visit..🙂
My fello tablet, usiwe na mashaka na mimi? chombo kimeshakuangukia.....hebu soma hapo chini, kifaa kimekuja chenyewe mbendembende na khanga moja....khaaaa!....Wewe una wako nyumbani, na mimi nina wangu nyumbani, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe?sasa si unaona umeanza kuongea kijitu kizima. yaani aspirin likiona hii post lazima liombe ban. khaaa! ramani tupeane pembeni hapa magadaffi wengi
Haya bana.. tuonane hapo nje!!!
Unaharibu sasa...tochi ya nini wakati kiza ndo mwendo wake?acha nitafte tochi nikuje, tanesco wako online.
Hahaha ngoja Malaria sugu a one hii Namwonea
Huruma jirani yangu klorokwin
Sababu Asprin na malaria
Watakutoa kwenye business..