Ukweli kuhusu kujamba

Sijui sababu hata ila nalichukia hilo neno. Na kwangu ni gumu kweli kweli hata kuliandika.
Ni sawa tu mkuu. Wewe lichukie kabisa hilo neno lakini mwili wako bila hata hiari yako unalitekeleza bila shuruti jambo hilo na endapo wewe utalizuia kwa makusudi kutendeka wewe mkuu hali yako kiafya itageuka ghafla kuwa mbaya na unaweza hata kuwa admitted hospital kwa kujitakia mwenyewe. refer kitu kinaitwa Intestinal torsion.
 
Thanks mkuu.
Ni neno tu ila tendo lenyewe swadakta
 
Shuzi limepata mjambaji
 
Nlivokua mdogo nilikua nkiona watu wazima najua wapo timamu sana ila tangu nmekua nmejua yan watu wazima ndo hatunaga akili kabisaa
Ni vile wale wakubwa wastaarab wa zamani wameshaondoka sasa mitoto mitukutu imegrow up na behaviors zao.

Taabu tubu
 
Uzi kama huu uliwai kujadiliwa humu kama 2015 au 14 hivi...aiseee ulikuwa fire sana nilicheka sana.....
 
mukuu tatizo ra ushuzi unapendq kumubana mtu akiwa amekaa na watu wengi muradi tu uzaririke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…