Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Farting au flatulence muzee....Hivi kujamba kwa kiinglishi ni vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Farting au flatulence muzee....Hivi kujamba kwa kiinglishi ni vipi?
Hahah hapana mkuu. Nimetoa gesiUmejamba mkuu.
Ni sawa tu mkuu. Wewe lichukie kabisa hilo neno lakini mwili wako bila hata hiari yako unalitekeleza bila shuruti jambo hilo na endapo wewe utalizuia kwa makusudi kutendeka wewe mkuu hali yako kiafya itageuka ghafla kuwa mbaya na unaweza hata kuwa admitted hospital kwa kujitakia mwenyewe. refer kitu kinaitwa Intestinal torsion.Sijui sababu hata ila nalichukia hilo neno. Na kwangu ni gumu kweli kweli hata kuliandika.
Thanks mkuu.Ni sawa tu mkuu. Wewe lichukie kabisa hilo neno lakini mwili wako bila hata hiari yako unalitekeleza bila shuruti jambo hilo na endapo wewe utalizuia kwa makusudi kutendeka wewe mkuu hali yako kiafya itageuka ghafla kuwa mbaya na unaweza hata kuwa admitted hospital kwa kujitakia mwenyewe. refer kitu kinaitwa Intestinal torsion.
Shuzi limepata mjambajiView attachment 2339918
1. Unazalisha takriban mililita 500 hadi 1,500 za gesi kwa siku, na kuitoa kwa mara 10 hadi 20.
2. Unaweza kuiwasha gesi ya kijambo kwa moto. Ina gesi aina ya methane na hydrogen ambazo zinawaka kirahisi.
3. Kulingana na ripoti ya NBC News, kijambo kinaweza kusafiri kwa spidi ya takriban maili 6.8 kwa saa au 11km/saa.
4. Wanawake wanaweza kujamba mara nyingi zaidi kuliko wanaume
5. Sulfuri ndiyo inayofanya kijambo kunuka.
Ni vile wale wakubwa wastaarab wa zamani wameshaondoka sasa mitoto mitukutu imegrow up na behaviors zao.Nlivokua mdogo nilikua nkiona watu wazima najua wapo timamu sana ila tangu nmekua nmejua yan watu wazima ndo hatunaga akili kabisaa
Mihogo inasubiri, viazi, maharage na nazi za kipemba ndo habari.Usiombe ubanwe na ushuzi bada ya kula mihogo, ni balaa
😂😂😂😂daaahNyie kijambio chenu kinakuwaga so amazing [emoji849][emoji849]
Ila kile chenye kisauti sio cha kimya kimya [emoji2]
Walikunyambia mkiwa wapi?🙄Sii nilisha jambiwa na wanawake kibao soo u get a sense of it.
FaraghaWalikunyambia mkiwa wapi?🙄
Imetosha 🙌😂Faragha
mukuu tatizo ra ushuzi unapendq kumubana mtu akiwa amekaa na watu wengi muradi tu uzaririkeNi jambo la kiafya zaidi na ni kawaida ijapokuwa baadhi ya watu wanalionea haya jambo hili.
Hapo No. 5 ni Hydrogen sulphide.
Gesi tumboni isipoondolewa/ondoka ni Tatizo na mtu atajisikia vibaya na pia mchakato wa uyeyushaji wa chakula tumboni utavurugika. Mtu Utajisikia kana kwamba "Umejaa" - tumefaction.
Kwa kifupi: Jisikie vizuri na uwe huru kujamba. Kwa heshima na adabu nzuri Jitenge pembeni kidogo au nenda faragha na achia gesi hiyo itoke kwa kimya au kwa sauti usijali wewe achia tu itoke.
Kumbuka hakuna binadamu yeyote(Hata wanyama) asiyejamba. Hii ni Asili ( call of Nature) usipingane na kitu cha kiasili - utaumia.