mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu
1. Utajiri ni bahati ila maisha mazuri ni jitihada, so ukifanya sana kazi na kwa jitahada kubwa fahamu unachotafta ni maisha mazuri , utajiri sio matokeo ya kufanya sana kazi
2. Utajiri ni matokeo ya urithi wa vizazi na vizazi, fahamu matajiri kama akina MO , GSM nk wengi wao wamerithi tu na wana akili ndiio maana wamefanikiwa
3. Utajiri chanzo chake ni kuibia serikali au kampuni kubwa , kiufupi hapa bongo hujakwepa kodi , hujafisadi , hujarithi nafasi yako ya kupata utajiri ni finyu sana ,sasa je upo kwenye kundi linaloweza kuiba
4. Kipaji na ubunifu kwa nchi zetu za kiafrika kina nafasi kidogo sana ya kukupa utajiri, bongo wenye vipaji wanakuwa marufu sio matajiri , vip wewe una kipaji chochote
6. Elimu na ajira nyingi ni msaada wa kukukinga zidi ya njaa sio kukupatia utajiri
7. Utajiri Tanzania ni siri na nguvu za giza sometimes times zinahusika, so nje ya haya mambo saba fahamu utaishia kufa na utazikwa kama mtu wa hovyo tu, jiandae kisakolojia kupata maisha mazuri , utajiri ni ngumu kuupata