Ukweli kuhusu kupata mtoto wa jinsia ya kike/kiume

Ukweli kuhusu kupata mtoto wa jinsia ya kike/kiume

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume,
Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu alipoingia bleed basi kuna uwezekano wa kupata mtoto wa kike,na kama itaanzia siku ya 14-17,basi kuna possibility ya kidume.

Hii nadharia ina ukweli kwa asilimia ndogo sana,ukweli ni kwamba kupata mtoto wa kiume au wa kike asilimia kubwa iko kwa mwanaume.

Kivipi?ili niweze kuelezea mada hii lazima ufahamu kuwa mtoto wa kiume au wa kike mbegu zao za urutubishaji wa yai la mwanamke ,zimekua named kisayansi kama mbegu y(kiume),na mbegu x ya like.

Mbegu zote hizi hukaa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume.

Zifuatazo ni tabia za mbegu hizi nikianzia na x
X-kike, huwa zina protein nyingi sana ambazo huzifanya kuhimili mazingira magumu.
2. Huwa zinasafiri taratibu sana maana huwa ni nzito.
3. Huwa hazifi kiurahisi.

B.Y-kiume:mbegu hizi zina tabia zifuatazo.
1. Huwa zina energy nyingi yaani wanga kuliko protein.
2. Zina nguvu sana.
3. Hazina uwezo wa kukabiliana na mazingira magumu.

Sasa tuje kwenye mada.
ili upate mtoto wa kiume lazima haya mazingira yawepo kwa mwanamme.
-usifanye ngono yoyote kwa wiki kama mbili ukiweza mwezi, hii itasaidia uzalishaji wa manii nyingi ambazo hutumika kulainisha njia za uzazi za mwanaume na mwanamke,manii siyo mbegu ,manii hutokea kabla ya kupiz mbegu katika mfumo wa majimaji.hapa hata kama mwanamke hana ute atalowa tu.

Itasaidia mbegu Y zenye nguvu na speed kuchanja mbuga kiulaini.pia manii husaidia kuangamiza bacteria wa magonjwa.si unajua Y hapendi magonjwa.

- Hakikisha wakati unapizi zamisha uume wote mpaka pumbu ziguse uke ,ili kufupisha safari.
ukifanya hivyo uzingatie kula vyakula vya wanga kwa wingi.
Mtoto wa like ukitaka ni kinyume cha hapo juu.

Mwisho zifuatazo ni sababu juu ambazo hufanya kushindwa kupata mtoto wa kiume.
  • uke wenye kina kirefu wakati mwanamke akiwa na nyege uke unatakiwa usizidi nchi 7, ikizidi tatizo.
  • Mwanamke au mwanaume akiwa Malaya sana pia humfanya asipate mtoto wa kiume
  • Mipango ya Mungu kuingiliaiana.

Nakaribisha mawazo tujengane
 
Nimezaa kwa mpango wa Mungu.. Sija edit kile Mola alichoninipangia[emoji1545]
 
Mbona naona kama unaenda wrong , Wakati maandika mengine yanasema , Mbegu X ni Mbegu yenye speed kubwa kuliko Mbegu Y, Pia Mbegu X huishi mda mfupi kuliko Mbegu Y, ambapo Mbegu X huishi kwa muda wa masaa 48 , na Mbegu Y huishi kwa muda wa masaa 72.

Kwa mwanamke Ambaye anatumia mzunguko wa siku 28 huanza kujisikia joto kuanzia siku ya kumi na moja mpaka 17 .Sasa hapa ndo Pana timing ya kumpata mtoto wa kiume . Na Yai hushuka katika mfuko wa uzazi siku ya 14.

Ili umpate mtoto wa kiume inabidi ufanye timing ya kufanya mapenzi siku tatu kabla Yai la mwanamke halijashuka katika mfuko wa uzazi, maana yake siku ya 10 au 11 tangu mwanamke aanze hedhi. Ila ukifanya mapenzi kuanzia siku 12, 13,14,15, 16,17 unapata mtoto wa kike.
Kwa kifupi sana. Over
 
Acha uongo nin rfk angu aanitwa paulo Ni Malaya kishenzi ila anazaa madume tu
 
Acha uongo nin rfk angu aanitwa paulo Ni Malaya kishenzi ila anazaa madume tu
Inategemea mkuu siyo kwamba ni Malaya wote watakua hivyo ila in general rule ukiwa Malaya uwezekano wa kupata mtoto wa kiume sahau. but it can happen in some of specific conditions, mfano mtu akikwambia ukifanya ngono zembe utapata ukimwi but still watu wanafanya ila hawapati ile ukweli unabak palepale
 
Mbona naona kama unaenda wrong , Wakati maandika mengine yanasema , Mbegu X ni Mbegu yenye speed kubwa kuliko Mbegu Y, Pia Mbegu X huishi mda mfupi kuliko Mbegu Y, ambapo Mbegu X huishi kwa muda wa masaa 48...

Tukubaliane kama ulivyoelezwa hapo juu, umeandika kinyume kuhusu uzito, urefu wa uhai na spidi ya mbegu.

Hii inapelekea pia kuwa kinyume kwenye siku husika kwa aina ya watoto.

20220112_152443.png


Kuna vitu vya kuzingatia kwa wazazi kabla ya hizi theory kuzifanyia kazi:

1: kuwa na uhakika kwamba baba anao uwezo wa kuzalisha mbegu X na Y, maana kuna wale ambao wana X au Y peke yao. Au unakuta kati ya X na Y zinazalishwa zikiwa na matatizo yanayosababisha zisifanye kazi.

2: Si kila mwanamke ana urefu wa mzunguko wa siku 28, mzunguko unakubalika kuwa sawa ukiwa kuanzia siku 24 mpaka 35. Hivyo hii pia huweka utofauti wa siku za timing.

3: Pia kuna suala la pH ya unyevunyevu kwenye uke wakati wa mjongeo wa mbegu husika. Kama hali ni tindikali zaidi au asidi zaidi.

Screenshot_20220112-153432.png
 
Kuna theory kuwa si suala la mbegu kuwahi kufika, ni suala la yai kuruhusu aina ya mbegu kulirutubisha. Inasemekana yapo mazingira ambayo mazingira ya urutubishaji wa mbegu wa mwili wa mwanamke unareject mbegu za aina fulani.

Hujawahi kutana na mwanamke anazaa watoto wa kike tu na mumewe ana mchepuko mwenye mtoto wa kiume? Au vice versa?
 
Kuna theory kuwa si suala la mbegu kuwahi kufika, ni suala la yai kuruhusu aina ya mbegu kulirutubisha. Inasemekana yapo mazingira ambayo mazingira ya urutubishaji wa mbegu wa mwili wa mwanamke unareject mbegu za aina fulani.

Hujawahi kutana na mwanamke anazaa watoto wa kike tu na mumewe ana mchepuko mwenye mtoto wa kiume? Au vice versa?

Ni moja katika hizo theory pamoja na zilizoelezwa hapo juu. Hivyo, siyo kitu kimoja tu ni mjumuisho wa hayo yote kama yalivyoelezwa.

Sasa ngoma inakuwa kuelewa kwa watu wawili hao nini hasa kinazuia. Na ujue tatizo liko kwa mama au baba. Maana unaweza kujaribu theory hazijibu.

Wababa tunawarushia zigo la lawama wamama bila kujua sisi ni wadau wakubwa pia.
 
Mbona naona kama unaenda wrong , Wakati maandika mengine yanasema , Mbegu X ni Mbegu yenye speed kubwa kuliko Mbegu Y, Pia Mbegu X huishi mda mfupi kuliko Mbegu Y, ambapo Mbegu X huishi kwa muda wa masaa 48 , na Mbegu Y huishi kwa muda wa masaa 72...
Upo wrong brother Y no kiume na X ni ya kike
 
Maelezo mengi hivyo utadhani ni kweli, Kuna madaktar wamebobea kwenye mambo ya afya ya uzazi lakini nyumbani kwake wamejaa watoto wa jinsia moja tu, fuata njia hizi nilizofundishwa na babu yangu utakuja kunishukuru.

1.Mtoto wa Kiume hapo Kuna XY fanya hivi wakati wa tendo hakikisha mwanaume unatangulia kumaliza kabla ya mke wako, Y ya mtoto wa kiume Ina speed sana na hachelewi kufa inapokutana na kipingamizo chochote njiani.

2.Mtoto wa kike, Kuna XX hapa mwanaume inabidi uhakikishe mke wako amemwaga kwanza ndio mwanaume umwage hapo utapata mtoto wa kike.

Babu aliniambia hivi mwanaume anatoa mbegu za X na Y kwa wakati mmoja lkn Y Ina speed sana na nidhaifu sana ikikutana na shahawa za mwanamke njiani huwa haziwezi kuhimili lile joto la shahawa kwahiyo hufai njiani ambapo huziacha X zikiendelea kupambana mpaka kwenye yai la mwanamke na ndio maana akasema kama unataka mtoto wa kiume hakikisha baba unatangulia kumwaga kabla ya mkeo.

Nadhani hapo nimeeleweka vizuri fanyeni hayo niliyowaambia mtakuja kunishukuru ni very simple,
 
Back
Top Bottom