Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,430
Reaction score
3,547
Asalaam aleykum.

ku poop = imetumika kama kupata haja kubwa.
ku pee = imetumika kama kupata haja ndogo

Kuna mambo mengi yanayotokea labor wakati wakujifungua but the most embarrassing ni vitu hivyo viwili hapo juu japo kwa manesi wanachukulia kawaida ila muhusika inakuwa inampa shida

Maswali yangu ni je:
1. Hii ni hali ya kawaida mwanamke anatakiwa kuitarajia (kwa ambao hawajajifungua).
2. Kuna namna mwanamke anaweza kuepuka mojawapo kati ya hayo hasa hilo la ku poop.
3. Kuna uhusiano wowote na tigoism na ku poop.

kuna watu wanahusisha na mwili kujisafisha wenyewe kabla ya kuanza na ku push.

====
Your body will cleanse itself before you ever get to the pushing part. With both my children (Including a 9 1/2 pounder) I went to the bathroom so much the day before and the day of my kids births, that I was just fine. If you do poop, they just fold it up in the blue disposable sheet you are laying on and put a clean one under you. You are so busy pushing you may not even notice"

source: babycenter.com
 
kupoop ni kuachia ushuzi ama nini? iweke vizuri ili watu wachangie
 
Naona mnaongelea mambo ya first twin!!

usiombe kukutana labour na mwanamke alikula liugali la mtama masaa machache kabla ya kujifungua!!
loh!!
 
Apologise lady

Unaweza tupa uzoefu kidogo ilikuwaje kwako kuna moja kati ya hayo yalikutokea.
 
Last edited by a moderator:
sonnita

Naiyo kupee hukunambia au ndo kutapika.
 
Last edited by a moderator:
Chamamu
1. Je, ni hali ya kawaida kwamba kila mtu atarajie wakati wa kujifungua.
2. Kuna namna ya kuepuka vyote au kuzuia mojawapo.

Ahsante kwa kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
Nyalotsi
Mkuu kumbe ni hali ya kawaida kwa hiyo mwanamke asipokula vyakula fulani inaweza kupunguza tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Tuwasubiri waliopoop na waliopee ama waliopoop na kupee kwa pamoja ila kabla hata hawajafika nawapa pole nyingi kwa kupoop na kupee maana ni fadhaa kubwa
 
Mkuu naona kama imetumia misamiati migumu mno kwa wadau kuelewa unachosema hebu weka wazi basi hiyo ku poop na ku pee ndo nini hiyo?
 
shalet
Binafsi nina mwili wa kawaida sana lakini nilijifungua mtoto wa kilo 4 na gram 300, kwa njia yakawaida kabisa, sikupatwa na hayo makitu, zaidi tu nilichanika kiasi.

Hata mimi najiuliza inakuwaje mtu anajifungua mtoto mdogo wa kilo 2 alafu anatokewa na hayo, lakini nahisi ni kutoka na kubanwa na kizazi kwa njia ya kutolea uchafu, sina hakika sana. ha haa haa hayo ndio mambo yanafanya watu wanakimbilia operation.
 
Last edited by a moderator:
Asprin
Siwezi bebii kwanza wew unapelekaga india najifungua kwa operation, mi nesi ya huku ilivyo minoko bebii wangu wala hutaki nongwa nao. za kazi lakini? maana umekurupuka kuogopa kasiri kavuja.
 
Last edited by a moderator:
achana nae huyo mzembe asome toka mwanzo atajua maana ya yote
 
Apologise lady
Niko poa mke wa ujana wangu. Mkoloni alikuwa kanibana vibaya. Tafazali leo ntahitaji masaji.Ngoja nipitie sehemu kwanza nipate viagra ya asili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…