Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Ukizungumzia ulimwengu daktari, kumbuka pia wale wa kijijini wanaozalishwa na wakunga wa jadi, je wana option ya uchungu uwe maximum ya muda gani?
Wanaojifungulia hospital za serikali ambao wala hawaaford hizo gharama za operation, ukimwambia operation ni kama umemtangazia kifo.
Usibase kwa wanaojifungulia regency, agha khan, muhimbili fast track n.k.
Ila dakitari una temper balaaa.

Wewe utakuwa una matatizo siyo bure.
Hivi unajua Sera ya obstetric emergency?
Kuwa Dharura zote za uzazi ni bure Tanzania hii?
Huko ni wapi ukitangaziwa operesheni inakuwa kama umetangaziwa kifo?
Usiandike andike unavyojisikia, kupotosha na kutisha watu siyo jambo jema.
 
Mmmhhh dokta mwenye temper hivyo?????
Navyojua madokta kazi zao ziko so hectic, sidhan kama anaweza kuwa na muda wa kupandisha temper hivyo kwenye net sabab hukutana na magumu mengi sana so huwa na busara sana.
Kama nimekukwazwa real real sorry daktari (kama ulivyojitambulisha)

Acha mashauzi... .
Temper ni nn?
Kitu km hujui vunga tu, usilazimishe upotoshaji.
 
kwa comment nilizo zisoma toka kwa kina dada na akina mama walio zaa,yaonekana chumba cha uzazi kina siri nyingi sana.acheni mwanamke aitwe mwanamke..
 
Asalaam aleykum.

ku poop = imetumika kama kupata haja kubwa.
ku pee = imetumika kama kupata haja ndogo


Kuna mambo mengi yanayotokea labor wakati wakujifungua but the most embarrassing ni vitu hivyo viwili hapo juu japo kwa manesi wanachukulia kawaida ila muhusika inakuwa inampa shida

Maswali yangu ni je:
1. hii ni hali ya kawaida mwanamke anatakiwa kuitarajia (kwa ambao hawajajifungua).
2. kuna namna mwanamke anaweza kuepuka mojawapo kati ya hayo hasa hilo la ku poop.
3. kuna uhusiano wowote na tigoism na ku poop.

kuna watu wanahusisha na mwili kujisafisha wenyewe kabla ya kuanza na ku push.

"Your body will cleanse itself before you ever get to the pushing part. With both my children (Including a 9 1/2 pounder) I went to the bathroom so much the day before and the day of my kids births, that I was just fine. If you do poop, they just fold it up in the blue disposable sheet you are laying on and put a clean one under you. You are so busy pushing you may not even notice"

source: How to avoid pooping during labor | BabyCenter




Kuavoid poop kwa mwanamke ni kutoshiriki penzi kinyume na maumbile..
Vinginevyo ni lazima apoop!!
 
Asprin mbona umeingilia kati mapema? mm nilikuwa namshawishi kusudi atoe hiyo siri yenu. Mimba ijayo nitawaomba madaktari na manesi waniruhisu niwepo ili niweze kushuhudia hayo!
 
Last edited by a moderator:
Rafiki mm ningependa kusikia kutoka kwako! tafadhali hata kama ni kuni "PM"

Mimi sio mjuvi wa hiyo, maana ninakatoto kadawa, wangekuwa wengi ningekuwa na ujuzi, subiri sio muda mrefu naungia tena labour hivo nitakuja na ujuzi bila shaka.
 
Wewe utakuwa una matatizo siyo bure.
Hivi unajua Sera ya obstetric emergency?
Kuwa Dharura zote za uzazi ni bure Tanzania hii?
Huko ni wapi ukitangaziwa operesheni inakuwa kama umetangaziwa kifo?
Usiandike andike unavyojisikia, kupotosha na kutisha watu siyo jambo jema.
🙁🙁🙁:sly:
 
Sijapata nafasi ya kusoma michango ya member waliotangulia ila ngoja niwape uzoefu wangu kama mkunga wa kiume, miaka kumi nipo kwenye fani tena vituo vya afya vilivyopo vijijini kabisa ( huko mambo yenu ya kwenda kinyume na maumbile sio kawaida)
Kwetu sisi wakunga poop kwa mama anayejifungua ni jambo la kawaida kabisa, huwa tunaiita "kurwa" na kuonyesha ilivyokawaida wakati navaa gloves zangu zile cover za gloves huwa sizitupi kwenye bin make najua zina kazi ya kupokea poop!

Ushauri wangu kwa wakunga niliowaacha kwenye fani (nimeacha huu "wito wangu" kwasababu ambazo nitawaambia wana JF siku nyingine...muuguzi analipwa na Mungu na sio u-DC) tuache kuchukia kupokea poops kwani akina mama siku hizi wanaogopa kula wakiwa na uchungu matokeo yake wanchoka wakati wa kusukuma, wakunga tumekuwa chanzo cha uzushi huu....inauma saaana.
Kwaheli Wakunga Ngoja Nijaribu Uinjinia (not joking) Success Through Conscioussness!
 
Wewe utakuwa una matatizo siyo bure.
Hivi unajua Sera ya obstetric emergency?
Kuwa Dharura zote za uzazi ni bure Tanzania hii?
Huko ni wapi ukitangaziwa operesheni inakuwa kama umetangaziwa kifo?
Usiandike andike unavyojisikia, kupotosha na kutisha watu siyo jambo jema.

Mkuu kuna kipande sijakupata vizuri, unamaanisha dharura zote za uzazi ni bure Tanzania:what:
 
Ile epidural si mchezo. Unajua mara ya kwanxa nilushaumwa sana so nikienda theatre nilikuwa nisha surrender.

This time round I was conscious kudaadeki naisikia tu inavyopenya katika mifupa ya spine.

Option ya full anesthesia ipo manake dr aliniuliza nataka ipi nikachagua half.

Pole mwaya..mie nilikoma maana pamoja na uchungu zile sindano nilizisikia haswa. Na walirudia rudia mara kadhaa mpaka kupata the right spot.

Dark City , asante babu kwa niaba ya wamama wengine, mama DC included. Nimewaelewa kuhusu general anesthesia kuwa na hatari zaidi lakini kwa nilivyo muoga naprefer kuwa nimelala maDoc wakifanya mambo yao maana last time nilihisi kama moyo ulikuwa unataka kuchomoka.

Doc asakuta same thanks, ila mie hilo jukumu la kuijaza dunia nimelimaliza, ila ntakuwa nawashauri wengine wenye hali hiyo. Huwezi amini sikuwa najua chochote kuhusu eclampsia before my first baby, na nilikuwa na bahati kweli maana nilienda tu hosp kucheki maendeleo ya mimba kama kawaida ila Dr alivyoniona tu akajua kuna kitu hakikuwa sawa wakati mi nilikuwa najua ndo mimba zilivyo, kuvimba miguu and what not ni mambo ya kawaida. Thank God vijamaa vyangu vyote viko salama mpaka leo.

Kitu kingine..
Nimeona unabishana na mtu kuhusu huduma za uzazi kuwa bure..kwenye karatasi kweli yaweza kusomeka hivyo ila kiukweli thats not the case in most hospitals. Wengi wanachaji hata kwa wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida, hiyo sera haifuatwi kwa namna ambayo ilitakiwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom