asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Ukizungumzia ulimwengu daktari, kumbuka pia wale wa kijijini wanaozalishwa na wakunga wa jadi, je wana option ya uchungu uwe maximum ya muda gani?
Wanaojifungulia hospital za serikali ambao wala hawaaford hizo gharama za operation, ukimwambia operation ni kama umemtangazia kifo.
Usibase kwa wanaojifungulia regency, agha khan, muhimbili fast track n.k.
Ila dakitari una temper balaaa.
Wewe utakuwa una matatizo siyo bure.
Hivi unajua Sera ya obstetric emergency?
Kuwa Dharura zote za uzazi ni bure Tanzania hii?
Huko ni wapi ukitangaziwa operesheni inakuwa kama umetangaziwa kifo?
Usiandike andike unavyojisikia, kupotosha na kutisha watu siyo jambo jema.