Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Huwezi fananisha habar za Mars na wewe ulipotoka ulitokatokaje.
Nini kuingia labor il upewe mtoto wako? Naamin bado haujaoa, nakuombea ukishaoa mkeo apate uchungu mkiwa wewe na yeye tu ndani tena mtoto atoke means wewe ndio umzalishe halaf uje kutupa maexperience hapa, kama hata huo mkono utaunyanyua kuandika chochote.

kweli sijaoa ila nimejifunza kitu ahsante kwa mchango wako.
 
Naamini wengi hawajui gender yangu.
Mimi ni (she) mama wa watoto kadhaa so nimeshaingia labour mara kadhaa, nina experience ya uchungu na kisu.
Nafkiri cha msingi mheshim sana mama.
Kuna mwingine anaweza pata labor pain ya kuja na kuacha huyo aweza umwa hata wiki.
Wanaume mkikaa huko nje mnafikiri mwanamke akiwa huko ndani (labor) anakuwa na option sana eti oohhhh tupo private tunalipa hela nyingi.. wewewe. .. nani kasema!!!
Cha msingi akiingia huko mkeo piga magoti mwombe Mungu wako atoke salama, na kama unataka kuingia wee ingia ukitoka ngamazia vile vile.
Inaonesha ubishi ni kitu unapenda , nimekuuliza swali rahisi umeniletea porojo mingi.
Hicho unachozungumzia kukaa kwenye labor pain kwa wiki nzima hakipo.
Kama upo vizuri Google "partogram" ujifunze ni nini ili ujue wakunga na madaktari wanamanage vipi process ya labor mpaka kufanya maamuzi na siyo kuleta hadithi za kusadikika.
 
Nani aliyewaambia uchungu unajulikana unapoanza ili mama ajipange masaa sita kabla asile.????

Masaa sita kabla nahisi kama ataishiwa nguvu hivi njaa halafu tukio lenyewe linahitaji nguvu.
 
asakuta same
Huyu kichanga nae ilikuwa emergency csec. Issue ya cord shingoni.No labour pains but I fucking hate the spinal injection.Thanks for ur advice but Alhamdulillah. No more for me.

Karucee zile sindano ni balaa..na ndio maana baadhi ya wanawake huwa wanasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo. Mi napenda ile style ya kulazwa moja kwa moja, na ndo nilifanyiwa mara ya kwanza. Ngoja mtaalam asakuta same atuambie bongo hamna option zaidi ya ile sindano ya kwenye uti wa mgongo na kufanya operation mtu akiwa AWAKE?! Alafu na mie niliumwa uchungu for days, ijumaa mpaka jumatatu ndo chupa ilipasuka na ndo nikaenda hosp na bado njia haikufunguka so c section ikahusika for the second time. Kama ningeenda mapema si wangenipa tu dawa za ku-speed uchungu?!

Nikirudi kwenye mada kuu...
Mie sijaexperience hizo vitu maana nimeambulia c section tu. Ya kwanza kwasababu ya Eclampsia dizaini ya kupewa maji ya uchungu kama aliyoongelea babu Dark City na ya pili sababu njia ilikataa kufunguka japo nilishaumwa uchungu siku tatu.
 
Last edited by a moderator:

Ile epidural si mchezo. Unajua mara ya kwanxa nilushaumwa sana so nikienda theatre nilikuwa nisha surrender.

This time round I was conscious kudaadeki naisikia tu inavyopenya katika mifupa ya spine.

Option ya full anesthesia ipo manake dr aliniuliza nataka ipi nikachagua half.
 
Last edited by a moderator:
Masaa sita kabla nahisi kama ataishiwa nguvu hivi njaa halafu tukio lenyewe linahitaji nguvu.

mkuu ikitokea ulw uchungu wa kuja na kukata kama inashtua flani hivi hata msosi huwezi utaman ndugu sema kila mtu ana experience tofauti na mwenzie
 
usinambie na wewe unaexperience na haya makitu
 
watu wengi husema hali hiyo ya ku poop husababishwa na kula viporo mama mjanzito hasa miezi ya mwishoni.
 
Inaonesha ubishi ni kitu unapenda , nimekuuliza swali rahisi umeniletea porojo mingi.
Hicho unachozungumzia kukaa kwenye labor pain kwa wiki nzima hakipo.
Kama upo vizuri Google "partogram" ujifunze ni nini ili ujue wakunga na madaktari wanamanage vipi process ya labor mpaka kufanya maamuzi na siyo kuleta hadithi za kusadikika.

Hahahaaaa a. .........
Mie ninaezungumzia from experience nina hadithi za kusadikika, wewe unayeleta kutoka google ndio unatoa fact?? Sio mchezo.
 
sijui umekurupushwa wapi wewe ng'ombe, exprience ipi uliyoitoa zaidi ya kurukia watu na ujuaj mbuz bata.

daktari asakuta same achana na huyu shetani jini, endelea toa darasa wengine wanaelimika humu.
 
Last edited by a moderator:
Karucee zile sindano ni balaa..na ndio maana baadhi ya wanawake huwa wanasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo. Mi napenda ile style ya kulazwa moja kwa moja, na ndo nilifanyiwa mara ya kwanza. Ngoja mtaalam asakuta same atuambie bongo hamna option zaidi ya ile sindano ya kwenye uti wa mgongo na kufanya operation mtu akiwa AWAKE?! Alafu na mie niliumwa uchungu for days, ijumaa mpaka jumatatu ndo chupa ilipasuka na ndo nikaenda hosp na bado njia haikufunguka so c section ikahusika for the second time. Kama ningeenda mapema si wangenipa tu dawa za ku-speed uchungu?!

Nikirudi kwenye mada kuu...
Mie sijaexperience hizo vitu maana nimeambulia c section tu. Ya kwanza kwasababu ya Eclampsia dizaini ya kupewa maji ya uchungu kama aliyoongelea babu Dark City na ya pili sababu njia ilikataa kufunguka japo nilishaumwa uchungu siku tatu.

Option ya kulazwa moja kwa moja ipo ila ina risk zaidi ya spinal , Mara nyingi mtu akiwa kwenye labor unakuwa umeshakula na kizazi kinakandamiza tumbo hivyo inakuwa rahisi kutapika na hatimaye kupaliwa na ukipaliwa ni hatari sana kwa uhai wako.

Kuhusu kukaa na uchungu kwa muda wa siku 3 hlf njia kushindwa kufunguka ilikuwa ni risk kubwa sana kuchukua kwenye maisha yako. Kumbuka kwenye progress of labor kuna maternal (mama)factors na fetal(mtoto) factors kujurge namna mtu atakavyojifungua.
Eclampsia ni hatari sana , don't ever try to delay kwenda hospitali.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa a. .........
Mie ninaezungumzia from experience nina hadithi za kusadikika, wewe unayeleta kutoka google ndio unatoa fact?? Sio mchezo.

Wewe unaweza kuwa umezaa watoto zaidi ya 300 niliowafanyia operesheni?
Wewe unaweza kuwa umezaa zaidi ya watoto 700 niliowazalisha mama zao baada ya kupata complications za labor? Usiwe mbumbumbu kutuletea vieksipiriensi vya watoto wako watatu kubishana na ulimwengu mzima.
 
sijui umekurupushwa wapi wewe ng'ombe, exprience ipi uliyoitoa zaidi ya kurukia watu na ujuaj mbuz bata.

daktari asakuta same achana na huyu shetani jini, endelea toa darasa wengine wanaelimika humu.

Real sorry kwa kusoma komment za ng'ombe.
Ila ng'ombe mwenye experience za mbuzi anayeingia JF na kucommment lazima hatakuwa wa kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaweza kuwa umezaa watoto zaidi ya 300 niliowafanyia operesheni?
Wewe unaweza kuwa umezaa zaidi ya watoto 700 niliowazalisha mama zao baada ya kupata complications za labor?
Usiwe mbumbumbu kutuletea vieksipiriensi vya watoto wako watatu kubishana na ulimwengu mzima.

Mmmhhh dokta mwenye temper hivyo?????
Navyojua madokta kazi zao ziko so hectic, sidhan kama anaweza kuwa na muda wa kupandisha temper hivyo kwenye net sabab hukutana na magumu mengi sana so huwa na busara sana.
Kama nimekukwazwa real real sorry daktari (kama ulivyojitambulisha)
 
Wewe unaweza kuwa umezaa watoto zaidi ya 300 niliowafanyia operesheni?
Wewe unaweza kuwa umezaa zaidi ya watoto 700 niliowazalisha mama zao baada ya kupata complications za labor?
Usiwe mbumbumbu kutuletea vieksipiriensi vya watoto wako watatu kubishana na ulimwengu mzima.

Ukizungumzia ulimwengu daktari, kumbuka pia wale wa kijijini wanaozalishwa na wakunga wa jadi, je wana option ya uchungu uwe maximum ya muda gani?

Wanaojifungulia hospital za serikali ambao wala hawaaford hizo gharama za operation, ukimwambia operation ni kama umemtangazia kifo. Usibase kwa wanaojifungulia regency, agha khan, muhimbili fast track n.k.

Ila dakitari una temper balaaa.
 
Karucee zile sindano ni balaa..na ndio maana baadhi ya wanawake huwa wanasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo. Mi napenda ile style ya kulazwa moja kwa moja, na ndo nilifanyiwa mara ya kwanza. Ngoja mtaalam asakuta same atuambie bongo hamna option zaidi ya ile sindano ya kwenye uti wa mgongo na kufanya operation mtu akiwa AWAKE?! Alafu na mie niliumwa uchungu for days, ijumaa mpaka jumatatu ndo chupa ilipasuka na ndo nikaenda hosp na bado njia haikufunguka so c section ikahusika for the second time. Kama ningeenda mapema si wangenipa tu dawa za ku-speed uchungu?!

Nikirudi kwenye mada kuu...
Mie sijaexperience hizo vitu maana nimeambulia c section tu. Ya kwanza kwasababu ya Eclampsia dizaini ya kupewa maji ya uchungu kama aliyoongelea babu Dark City na ya pili sababu njia ilikataa kufunguka japo nilishaumwa uchungu siku tatu.

Pole Lizy,

Ndiyo maana kwangu mama ni mtu waina nyingine. No one can compare with my mother! Next to Bibi but still first to all!

General anaesthesia ipo ila risk yake ni kubwa sana na Kwa dakta yeyote wangependa kutoitumia. Zamani ndiyo ilikuwa njia kuu ila siyo best option. Tatizo kubwa la epidural ni pale wanapokea na kuchoma pasipohusika.
 
Last edited by a moderator:
Ukizungumzia ulimwengu daktari, kumbuka pia wale wa kijijini wanaozalishwa na wakunga wa jadi, je wana option ya uchungu uwe maximum ya muda gani?
Wanaojifungulia hospital za serikali ambao wala hawaaford hizo gharama za operation, ukimwambia operation ni kama umemtangazia kifo.
Usibase kwa wanaojifungulia regency, agha khan, muhimbili fast track n.k.
Ila dakitari una temper balaaa.

Tatizo ni nini ndugu?

Sijaelewa mjadala wako na ASAKute same
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom