Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

ASAKuta
Duuu shida hii all in all Mungu mwenyewe ndio muweza khaa? Mara nyingi sitaki kukumbuka.
 
Last edited by a moderator:
asakuta same
Huyu kichanga nae ilikuwa emergency csec. Issue ya cord shingoni.No labour pains but I fucking hate the spinal injection.Thanks for ur advice but Alhamdulillah. No more for me.
 
Last edited by a moderator:
Ni normal na inaweza kumtokea mtu yeyote hii inatokana na mzazi kula chakula masaa sita yaliopita so mmeng'enyo wa chakula umefanyika na hali ya kujifungua imekaribia unaposukuma mtoto kama ile haja ipo karibu unaisukuma pia, so hutoka pamoja na mtoto na wale wanao pee ni hivyo hivyo na hii ndio huweza kuambatana na fistula kufanya mapenzi kinyume na maembile.

Mtoto hukimbilia sehemu ya haja kubwa bcz wakati wa kupushi mtoto hufuata njia iliowazi hii hupelekea mtoto kufa ndio maana manesi wanapoona mtoto hukimbilia njia ambayo sio sahihi humziba mzazi kwa kutumia nguo au pamba kuzuia ile njia na mtoto hulazimika kutoka sehemu ya kawaida.

Swala la kujisaidia haja kubwa na ndogo halihusiani na ufanyaji mapenzi wa kinyume na maumbile bali linahusiana na ulaji wa chakula baada ya masaa sita na hili linaweza kumkuta yeyote maana hujui uchungu unakuja mda gani so unaweza ukasikia njaa ukala kumbe mda wako umefika na likakutokea hilo.
 
Whenever I read labor issues najikuta nampenda mke wangu zaidi na zaidi

Mpare wa milimani
 
Karucee
Umenikumbusha mbali nilipata maumivu ya aina hii kwa mwanangu wa kwanza duh masaa ya uchungu yalikua mengi sana . Halafu uchungu ni ule wa papo kwa papo sikilizia maumivu yake sijui sala gani sikusali aisee.

Acha tu dada yangu. Mungu tu ndie anaejua. Daaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom