Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Asprin
Niletee strawberry bebii, halafu na mtoto huku tumboni anataka Apple.
 
Last edited by a moderator:
Apologise lady
Usijali afu kaambie hako ka Cute kwa tumbo kasikusumbue mjamzito wangu, nakuja kukalisha mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Katika jambo linalonifanya nijione si lolote kwa Mwanamke ni pamoja na kulifikilia tendo hilo la kujifungua!

Pamoja na kaukorofi nilikonako, hata kama mwanamke kanitenda nini, nikipoga picha ya tendp hilo nguvu huisha!

Sie ni vidume ndio, lakini kwa zoezi hilo la mwanamke nadhani hatuna jambo tunaloweza kujivunia kama vidume aisee!
 
Apologise lady
Hebu nambie unapenda Vitz new Model au IST? Hiyo ni ya kuanzia tu.Mengine yatafuata.
 
Last edited by a moderator:
Da Pretty
Unashauriwa kutokula vyakula vigumu muda mchache kabla ya tukio ili usipate choo maana kupush si mchezo na pia kusukuma kabla ya wakati nayo inasababisaha kutoa poop.
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt
kumbe ni kawaida nilizani wale member wa tigoism peke yao inawahusu.
 
Last edited by a moderator:
miss chagga
(10-9=1) hongera mama kijacho ila inaonyesha ni hali ya kawaida usisononeke ikitokea epuka tu kula vyakula vigumu muda mfupi kabla ya kuanza ku push.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom