Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

KUMBE UMEMUOA SISTER WANGU KWENYE UKOO WETU WA Watu8 AISEE LAKINI DADDY SIJUI KLAMA AMEPATA NGOMBE WAKO AU ULIMZENGEA MAHALI UKAMBEBA NA SISI NDUGU TUSIJUE ?

NITAKUKUPELEKA KWA DADDY ULIPE NGOMBE 70 KWA KUMTOROSHA DADA YETU
Apologise lady
Niko poa mke wa ujana wangu. Mkoloni alikuwa kanibana vibaya. Tafazali leo ntahitaji masaji.Ngoja nipitie sehemu kwanza nipate viagra ya asili.
 
Last edited by a moderator:
Aisee, hizi maa zinamfanya mtu azidi kuwaheshimu wanawake...sio kazi rahisi yaonekana...!~
 
Nani aliyewaambia uchungu unajulikana unapoanza ili mama ajipange masaa sita kabla asile.????
 
Inawezekanaje mwanamume ahitaji experience za labor?

Ukizipata zitakusaidia nini? Mwishowe utahitaji kujua kama wakati mama yako anakuzaa alipoop na kupiii. Sio sawa hata kidogo mwanamume kuhitaji kujua kwa ngumu zote mambo ya labor sidhan kama ni sahihi.
 
Nashangaa mtu kusema ku poop wakati wa kujifungua ni fedheha je unajua kama wakati wewe unazaliwa mama yako vyote hivyo havikutoka?

Mnapojadili haya mambo angalieni kwa jicho la pili pls.
 
Inawezekanaje mwanamume ahitaji experience za labor? ?
Ukizipata zitakusaidia nini???
Mwishowe utahitaji kujua kama wakati mama yako anakuzaa alipoop na kupiii...
Sio sawa hata kidogo mwanamume kuhitaji kujua kwa ngumu zote mambo ya labor sidhan kama ni sahihi.

kuna umuhimu wa kujua ndiyo unaweza ingia leba na mkeo kwa hiyo kila kinachotokea hupaswi kuwa mgeni watu wanataka kujua habar za mars sembuse wanawake tunaoishi nao.
 
Nashangaa mtu kusema ku poop wakati wa kujifungua ni fedheha je unajua kama wakati wewe unazaliwa mama yako vyote hivyo havikutoka ???
Mnapojadili haya mambo angalieni kwa jicho la pili pls.
pole mkuu inaonekana umekwazika kwa baadhi ya reply lakin hiyo ni hali ua kawaida kama wadau wanavyosema pengine hata wazazi wetu iliwatokea nadhani tunatakiwa kuwaheshimu zaid mama zetu wamepitia mengi.
 
Siku hizi hospitali nyingi za private wanaruhusu mume kuingia labour kupokea kitoto chake, muwe mnauliza na haya maswali mkiwa kule ikitokea. otherwise peleke JF Doctor, utajibiwa kiufasaha.
 
Mimi kama man, I never take time ati ,labor kuna kupop or what, what I nid is to c my wife kaja na mtoto salama na yy salama, mnahoji mambo ya labor mnasahau kua mkifa aibu nyingi zenu ztakua peupe ila walowaona watawatnzia siri!!!
 
Wewe unadhanije mkuu?
Kwahiyo unaweza kukaa kwenye labor pain wiki nzima siyo?

Naamini wengi hawajui gender yangu.
Mimi ni (she) mama wa watoto kadhaa so nimeshaingia labour mara kadhaa, nina experience ya uchungu na kisu. Nafkiri cha msingi mheshim sana mama.

Kuna mwingine anaweza pata labor pain ya kuja na kuacha huyo aweza umwa hata wiki.
Wanaume mkikaa huko nje mnafikiri mwanamke akiwa huko ndani (labor) anakuwa na option sana eti oohhhh tupo private tunalipa hela nyingi.. wewewe. .. nani kasema!!!
Cha msingi akiingia huko mkeo piga magoti mwombe Mungu wako atoke salama, na kama unataka kuingia wee ingia ukitoka ngamazia vile vile.
 
pole mkuu inaonekana umekwazika kwa baadhi ya reply lakin hiyo ni hali ua kawaida kama wadau wanavyosema pengine hata wazazi wetu iliwatokea nadhani tunatakiwa kuwaheshimu zaid mama zetu wamepitia mengi.

Sijaona kama ni proper mwanaume kujadili issue za labor! Sabab hata wanaume waliokwisha ingia hutaskia akiongelea hiyo siku ila utaona tu atavyozidisha upendo kwa mkewe.

Mkuu kumheshim mam sio kumjadili hata kidogo. Sijaelewa inakuwaje umjadili then useme ndio kunakupa kumheshim zaidi?
 
kuna umuhimu wa kujua ndiyo unaweza ingia leba na mkeo kwa hiyo kila kinachotokea hupaswi kuwa mgeni watu wanataka kujua habar za mars sembuse wanawake tunaoishi nao.

Huwezi fananisha habar za Mars na wewe ulipotoka ulitokatokaje.
Nini kuingia labor il upewe mtoto wako? Naamin bado haujaoa, nakuombea ukishaoa mkeo apate uchungu mkiwa wewe na yeye tu ndani tena mtoto atoke means wewe ndio umzalishe halaf uje kutupa maexperience hapa, kama hata huo mkono utaunyanyua kuandika chochote.
 
Back
Top Bottom