Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Pova 5 series naona zinatumia dimensity 6xxx series, ni cortex A76, sio mbaya ila pia sio nzuri kivile.Mkuu, nimeona hiyo Pova 5 na Pova 5 Pro na pia Pova 6 Pro. Nitakua sawa nikisema kuwa kwa ufafanuzi wako ni kuwa hizi simu ni nzuri? Yaani kwamba unaweza kununua na ikawa na performance safi kabisa
Kwa Mediatek midrange nzuri za sasa ni Dimensity 7200 na Dimensity 8300, kwa za zamani kidogo ni Dimensity 8100 na 8200.