Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Pova 5 series naona zinatumia dimensity 6xxx series, ni cortex A76, sio mbaya ila pia sio nzuri kivile.Mkuu, nimeona hiyo Pova 5 na Pova 5 Pro na pia Pova 6 Pro. Nitakua sawa nikisema kuwa kwa ufafanuzi wako ni kuwa hizi simu ni nzuri? Yaani kwamba unaweza kununua na ikawa na performance safi kabisa
Izo dimensity 7200 si bora Helio G99Pova 5 series naona zinatumia dimensity 6xxx series, ni cortex A76, sio mbaya ila pia sio nzuri kivile.
Kwa Mediatek midrange nzuri za sasa ni Dimensity 7200 na Dimensity 8300, kwa za zamani kidogo ni Dimensity 8100 na 8200.
Hapana D7200 ni way better Kuliko G99 hata hazifananishiki.Izo dimensity 7200 si bora Helio G99
Chief, nna budget ya 300-350 nahitaji simu kali, vigezo ni kamera nzuri saana na kukaa na chaji. Matumizi yangu ni ya kawaida tu especially kuperuzi kwenye social networks basi. Sichezi game wala streamingHakuna S10 yoyote mpya, hizo ni simu za 2019 na warranty zilishaisha toka 2021, yoyote utakayopata sasa hivi ni used ama refurbished.
Hizo refurbished za s10e zipo kibao mkuu wala hazifiki hio laki 3, nyingi ni 250,000 ama chini ya hapo. Sema s10e haikai na chaji.
Ngumu hio budget kupata simu mpya yenye camera kali. Kwa used unapata Xperia 5 IIChief, nna budget ya 300-350 nahitaji simu kali, vigezo ni kamera nzuri saana na kukaa na chaji. Matumizi yangu ni ya kawaida tu especially kuperuzi kwenye social networks basi. Sichezi game wala streaming
Nimeona aliexpress wanauza Pova 5 pro kwa Tshs. 160,000/= hivi (12GB/256GB) ikiwa ni pamoja na shipping, huku ile ya (16GB/1TB) ikiuzwa kwa Tshs. 205,000/=. Naona ni bei nzuri. Ngoja nijaribu hii ya 256GB storagePova 5 series naona zinatumia dimensity 6xxx series, ni cortex A76, sio mbaya ila pia sio nzuri kivile.
Kwa Mediatek midrange nzuri za sasa ni Dimensity 7200 na Dimensity 8300, kwa za zamani kidogo ni Dimensity 8100 na 8200.
Nataka hizo used mkuu!!Ngumu hio budget kupata simu mpya yenye camera kali. Kwa used unapata Xperia 5 II
Mkuu hio sio tecno, hao ni matapeli tu, Wanachofanya wanaandika sub brand ya bidhaa ili kutrick akili yako ujue ni bidhaa fulani, hawaja andika popote hio Ni Tecno Pova bali wameandika tu Pova. Hawajavunja sheria za AliExpress hivyo wakituma clone ya Tecno feki inaitwa tu Pova ni sawa.Nimeona aliexpress wanauza Pova 5 pro kwa Tshs. 160,000/= hivi (12GB/256GB) ikiwa ni pamoja na shipping, huku ile ya (16GB/1TB) ikiuzwa kwa Tshs. 205,000/=. Naona ni bei nzuri. Ngoja nijaribu hii ya 256GB storage
Iangalie mkuu hio Xperia 5 II kwanza, ni simu nyembamba ndefu kimuonekano, kama appearance yake sio shida kwako go for it.Nataka hizo used mkuu!!
Hiyo Samsung Galaxy S20 FE Upande Wa Chaji Ipoje Na Muda IliotengenezwaIangalie mkuu hio Xperia 5 II kwanza, ni simu nyembamba ndefu kimuonekano, kama appearance yake sio shida kwako go for it.
Alternative kama muonekano hujaupenda ni Samsung Galaxy S20 FE, nayo ni simu nzuri all arounder.
Mungu azidi kukuweka mkuu.Iangalie mkuu hio Xperia 5 II kwanza, ni simu nyembamba ndefu kimuonekano, kama appearance yake sio shida kwako go for it.
Alternative kama muonekano hujaupenda ni Samsung Galaxy S20 FE, nayo ni simu nzuri all arounder.
Ni simu ya 2020 mkuu, na nimei recomend kama all arounder sababu inakaa na chaji, camera nzuri, display nzuri etc ni flagship ambayo ilikua simu ya kazi.Hiyo Samsung Galaxy S20 FE Upande Wa Chaji Ipoje Na Muda Iliotengenezwa
Ahsante sana. Nimeelewa mkuu, wamefanya makusudi kabisa kutoweka neno TECNOMkuu hio sio tecno, hao ni matapeli tu, Wanachofanya wanaandika sub brand ya bidhaa ili kutrick akili yako ujue ni bidhaa fulani, hawaja andika popote hio Ni Tecno Pova bali wameandika tu Pova. Hawajavunja sheria za AliExpress hivyo wakituma clone ya Tecno feki inaitwa tu Pova ni sawa.
Mkuu hebu tupe machimbo ya kupata hizo simu used lakini za ubora mzuri. Hapa nimeangalia hiyo experia 5 II nimeona sio mbaya, inaweza nifaa pia. Au tukitaka hiyo S20 FE wapi zinapatikana genuine?Ni simu ya 2020 mkuu, na nimei recomend kama all arounder sababu inakaa na chaji, camera nzuri, display nzuri etc ni flagship ambayo ilikua simu ya kazi.
Mkuu simu used siku zote ni kubet,Mkuu hebu tupe machimbo ya kupata hizo simu used lakini za ubora mzuri. Hapa nimeangalia hiyo experia 5 II nimeona sio mbaya, inaweza nifaa pia. Au tukitaka hiyo S20 FE wapi zinapatikana genuine?
*#*#7378423#*#*
Ubarikiwe sana mkuu🙏🏿Mkuu simu used siku zote ni kubet,
Sema Sony zinatoka Japan angalau kidogo zina uafadhali, ila still bado inabidi uwe makini sana.
Kwa xperia 5 II inabidi uingie service mode kwa kubonyeza
Code:*#*#7378423#*#*
Humo ndani kuna test karibia zote, watakuonesha battery health, ukitaka kutesti touch etc.
Ili usisahau hio no ni neno service kwenye 9 keypad.
Fungua dialer ya simu andika service automatic inakuja hio no.
Unaweza kwenda Kkoo ukakuta maduka 100 yote yanauza Xperia lakini aliezileta ni mtu mmoja wote wana chukua kwake, so usiangalie sana unanunua kwa nani, angalia tu ambaye ana warranty ya maandishi na yupo responsible ikitokea simu ina tatizo.
Au xperia 10 iiiNgumu hio budget kupata simu mpya yenye camera kali. Kwa used unapata Xperia 5 II
10 III ni midrange ina faida zake kama kukaa na chaji sana, ila premium features kama Camera na display nzuri 5 II ipo vizuri zaidi.Au xperia 10 iii
Chief, Redmi note 12 kwa 550K ni value for money? Vp camera yake kwa ubora wa picha? Na workability yakeNgumu hio budget kupata simu mpya yenye camera kali. Kwa used unapata Xperia 5 II