Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

plo lumumba jr

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
111
Reaction score
79
Mieleka/wrestling imekua ikionyeshwa zaidi ya miaka zaidi ya 10 hapa Tanzania. mchezo huu umepata mashabiki wengi sana hasa vijana na watoto mashuleni na mitaani kumetokea kesi za watu kupigwa kwa style wanazotumia wacheza mieleka maarufu kama finishing mf. R.K.O ya randy orton, rest in peace ya undertaker walio iga wanavyoona kwenye t.v licha ya kupewa tahadhari ya DONT TRY THIS AT HOME wamekua curious zaidi na kuumizana vibaya mitaani wengi ma gymnastic waki bongo WWE superstars ndio ma role model wao iwe gym za uswazi au za kishuani.

Nachoomba kujuzwa ni je mchezo huu wakupigana ngumi, mateke, viti vya chuma, nyundo, ngazi, meza ni mchezo wa kweli usio na maigizo? Kama ni kweli je wale ni binadamu kama sisi?
 
Vitu vingi vinavyofanyika vinakuwa planned, performers wanafuata script kama movie vile, kunakuwa na reharsal before hawajaenda kuperform, si vitu vyote wanavyofanya vinakuwa planned ndio maana kunatokea vifo sometimes. Rey Mysterio alimuua Pedro Aguayo kwa bahati mbaya kwenye pambano lao march mwaka huu
 

Read it
 

Attachments

  • 1431791872894.jpg
    69.9 KB · Views: 2,796
Hivi Kwa Nini Thread Nyingi Za Apa JF, Unakuta Ile Heading Inaelezea Kitu Flani Cha Kukupa Habari, Lakini Ukiifungua Usome Unakutana Tena Na Swali...

Kwa Nini Heading Isiwe Kwa Mtindo Wa Swali Ili Muhusika Akifungua Thread Ajue Anaenda Kuchangia Kitu???

Hii Hali Inanikera Kwa Kweli....
 

no, sio maigizo ndugu, formally walikuwa wanauana sana. Mimi ni mpenzi wa mieleka, nimeanza kutazama Botswana tv wakati ule wa hack ogan, chris jericho etc.
 
Ni maigizo, ndiyo maana wanakwambia do not try this at home.
 

coz wachangiaji wanakuja na majibu kama hayo.hapo juu......
 

Huwezi kuandaa jibu kwa kusoma heading tu.
 

Kweli bwana, mi mwenyewe nimemind kichizi
 
no, sio maigizo ndugu, formally walikuwa wanauana sana. Mimi ni mpenzi wa mieleka, nimeanza kutazama Botswana tv wakati ule wa hack ogan, chris jericho etc.

Kuna ukweli 50% na uongo 50%, ukitaka kujua kwamba kuna maigizo we angalia mapambano ya Randy Orton kama mfano, eti pambano lolote analoshinda lazima amalize na RKO, inakuingia akilini kwamba bila rko hawezi kushinda? Na ukitaka kujua kwamba kuna ukweli sometimes ni pale panapotokea vifo kwenye match
 
no, sio maigizo ndugu, formally walikuwa wanauana sana. Mimi ni mpenzi wa mieleka, nimeanza kutazama Botswana tv wakati ule wa hack ogan, chris jericho etc.

mkuu uwe unaficha kidogo ushamba wako, hack ogan ndiyo nani? huyo anaitwa HULK HOGAN kwa miaka ya 70. baadaye mieleka ilipokuja kuwa mchezo wa kuiga alitumia jina la Hollywood Hogan, upo kaka?
 
mkuu uwe unaficha kidogo ushamba wako, hack ogan ndiyo nani? huyo anaitwa HULK HOGAN kwa miaka ya 70. baadaye mieleka ilipokuja kuwa mchezo wa kuiga alitumia jina la Hollywood Hogan, upo kaka?

Hahaha! kidogo kaka!
 

Rko ya randy orton ni za kweli kumbuka wale jamaa pia wanatumia uchawi.. Mf: anderteker ni mchawi wa kutupa!
 
Rko ya randy orton ni za kweli kumbuka wale jamaa pia wanatumia uchawi.. Mf: anderteker ni mchawi wa kutupa!

Hivi kweli unadhani kuwa ni kweli?..hizo ni kama holywood movies..huwezi kupigwa na kiti cha chuma au nyundo ukabaki mzima mkuu...angalia ngumi..unajua kwa nn waliweka gloves?..kupunguza ukali wa ngumi..la sivyo wangekufa wengi!
 
mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta
 

usidanganye watu hapa,mimi nimefika huko ,kama wewe ni director wa bongo movie basi kawadanye hao hao wanaoangalia movie zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…