plo lumumba jr
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 111
- 79
Mieleka/wrestling imekua ikionyeshwa zaidi ya miaka zaidi ya 10 hapa Tanzania. mchezo huu umepata mashabiki wengi sana hasa vijana na watoto mashuleni na mitaani kumetokea kesi za watu kupigwa kwa style wanazotumia wacheza mieleka maarufu kama finishing mf. R.K.O ya randy orton, rest in peace ya undertaker walio iga wanavyoona kwenye t.v licha ya kupewa tahadhari ya DONT TRY THIS AT HOME wamekua curious zaidi na kuumizana vibaya mitaani wengi ma gymnastic waki bongo WWE superstars ndio ma role model wao iwe gym za uswazi au za kishuani.
Nachoomba kujuzwa ni je mchezo huu wakupigana ngumi, mateke, viti vya chuma, nyundo, ngazi, meza ni mchezo wa kweli usio na maigizo? Kama ni kweli je wale ni binadamu kama sisi?
Nachoomba kujuzwa ni je mchezo huu wakupigana ngumi, mateke, viti vya chuma, nyundo, ngazi, meza ni mchezo wa kweli usio na maigizo? Kama ni kweli je wale ni binadamu kama sisi?