wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
ajali kazini , hivi wewe mtu anapigwa mapaka hajiwezi ghafla anapata nguvu, na hujiulizi ile style ya masterio mtu lazima akae kwenye kamba sijui yaitwa 360, mimi nilikuwa naamini kama wewe... aim glad baada ya kuangalia THE REAL FIGHTS! UFC nkaona WWE wote maigizo
Hadithi ndefu mpaka vitu personal lakini bado hujaleta jibu ni kweli au maigizo? wote tunajua nini hutokea mtu anapokula konzi kavu bila glavu ,ni mwendo wa mchaniko na manundu!labda utuambie wenzetu wana ngozi za kiboko,kifaru na tembo!mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta
nqkubaliana na ww 100% ila ngoja niongezee kdogo kwa faida ya wasiojua.. hiyo finishing ya seth rollins inaitea "curbstomp" juzi kati tu WWE wamemkataza jamaa asitumie tena style hiyo kwasababu ina madhara makubwa sana kwa anaowafanyia hivyo... sasa kama WWE wameiban hiyo style uongo uko wapi!? ingekua uongo wangeacha tu aendelee nayo...Hembu tuweni wakweli,
Ile style ya Brock Lesnar ya kukubana tumbo kwa nyuma na kukurushia nyuma yake, ile aliompiga nayo John Cena Mpaka akachukua mkanda wa Heavyweight ni uongo?
Superman Punch ya Roman Reign ni uongo?
Spear za kina Roman Reign na zamani Edge ni uongo?
DDT kama ya Randy Orton, ile anakuning'niza miguu kwenye kamba ni uongo
RKO ya Randy Orton ni uongo nayo?
Seth Rolling ana style yake nayo akikukuta umeinama anarudi mpaka kwenye kwamba na kuja kukukanyaga kisogoni Mpaka USO/sura inagusa chini ni uongo?
Vipi kuhusu style ya REST IN PEACE ya Undertaker? Labda kitu nisichoamini kwa huyu bwana ni eti alikufa zamani then mzuka wake ndio unakujaga kupigana.
Lakini vipi kuhusu style za Ray Mysterio ya kukubana shingo kwa miguu kisha anazunguka na kukurusha ni uongo ule? Au ile style yake ya "609" ni uongo?
Je style ya John Cena ya " You Can't See Me" ambayo anakuangukia na ngumi ya nguvu ni uongo? Au ile anakubeba begani na kukubwaga kwa nguvu uongo ule?
Zamani wakati Sting anapigana alikua akiingia kutokea juu ya Ukumbi kupitia kamba, alikua akiogopwa na wapiganaji wote wakiwemo NWO, Kisa tu alikua na Rungu ndani ya koti, uongo uko wapi hapo?
Vile viti ukivipiga au kuvikunja vinatoa mlio wa mabati au chuma, uongo wake uko wapi hapo?
TLC (Table, Ladder and Chair) ni uongo? Watu hawavunjiki juu ya meza? Hawapigwi na Meza?
Conclusion,
Mi naamini wanavyopigana pale vyote ni kweli kabisa, hawatoki damu sababu ya madawa wanayopaka na kunywa. Ila pengine vitu vya uongo ni kama zile bifu zao, zipo kibiashara zaidi. Pia ule mchezo Sheria hazifuatwi sana Bali ubabe mwingi. Ndio maana ukiweza kumcheat refa tu akakupa ushindi basi wewe ni Bingwa, hata kama watazamaji na waandaaji wameona tofauti.
Kwani mtu hawezi kufa kwa kuigiza?Nahao wanaokufa kwenye mapambano ni maigizo?
Mchezo huu ni waukweli, Mayweather kuna kipindi aliingia contract na WWE lakini ule mziki pale ndani alishindwa aka resign
mkuu shark na wengine naomba tujadili upigaji ngumi wa wana mieleka mbona kama hawa kunji ngumi na kuirusha straight kama kwenye boxing yani ngumi zao sio za nako ni kama wanapiga kiupande hivi alafu makofi ya kifua yanakua mengi.........alafu ishu ya kupima kilo hamna mtu kama raymaysterial ashawahi kupiganishwa na umaga khalii big show...wch luk unfair ki uzito na urefu gap kubwa
Los Angeles ipo Italy?
waTANZANIA NI wapumbavu sana yaani mtu kusema niliwahi kwenda marekani watu wanaona ni kitu cha ajabu sana kana kwamba marekani ni mbinguni,jamani ni matope gani yaliyowajaa vichwani mwenu? kuna watanzania wanaenda kule kila wiki kuna kabinti kanamiaka saba pekee alitoka miami hadi dar peke yake as young flyer bila wazazi wala mtu wa kumsindikiza,jaman hebu tuachen upuzi wa kupaona marekani kama mbinguni
Mimi ni mtanzania,ila ukweli ni kwamba hakuna watu wajinga,washenzi,uharo,punda,ng'ombe,nyoka,kenge,kunguni,ngedere,pumbavu.....(;@*§¤(* kama watanzania,na watanzania wenye sifa za kishenz na wajinga kuliko wote ni wanachama wa ccm,ukimkuta mtanzania ana akili nzuri ujue huyo ni UKAWA.Haya yaliyobaki ni takataka tena ya mavi,ogopa sana watu waliotawaliwa miaka 53 na chama kimoja na kimewapa umaskini wa kutisha and yet they prefer not any change,ukiwaambia habari ya USA,ni kama umewaambia peponi,pumbavu zenu ccm wote.
hivi yule ray mysterio akikupiga tu lazima uangukie ile kamba ile unaamini
ha ha ha ha ha ha
we jamaa umeanza kuangalia tv lini ?
au unaangalia kama mtoto wa kuamini komando kipensi anaweza kupiga jeshi zima kwa kutumia kisu ?
Hahah eti 360 umeambiwa hio ni camera 360, Hahah inaitwa 619 Mkuu, hahah
Sasa akificha utajuaje kuwa ni mshamba?mkuu uwe unaficha kidogo ushamba wako, hack ogan ndiyo nani? huyo anaitwa HULK HOGAN kwa miaka ya 70. baadaye mieleka ilipokuja kuwa mchezo wa kuiga alitumia jina la Hollywood Hogan, upo kaka?
Hivi kweli unadhani kuwa ni kweli?..hizo ni kama holywood movies..huwezi kupigwa na kiti cha chuma au nyundo ukabaki mzima mkuu...angalia ngumi..unajua kwa nn waliweka gloves?..kupunguza ukali wa ngumi..la sivyo wangekufa wengi!
Mimi ni mtanzania,ila ukweli ni kwamba hakuna watu wajinga,washenzi,uharo,punda,ng'ombe,nyoka,kenge,kunguni,ngedere,pumbavu.....(;@*§¤(* kama watanzania,na watanzania wenye sifa za kishenz na wajinga kuliko wote ni wanachama wa ccm,ukimkuta mtanzania ana akili nzuri ujue huyo ni UKAWA.Haya yaliyobaki ni takataka tena ya mavi,ogopa sana watu waliotawaliwa miaka 53 na chama kimoja na kimewapa umaskini wa kutisha and yet they prefer not any change,ukiwaambia habari ya USA,ni kama umewaambia peponi,pumbavu zenu ccm wote.
angalieni hii bata jamani!! kazi tu kujikweza wakati haujui ata kirefu cha ile WWE
waTANZANIA NI wapumbavu sana yaani mtu kusema niliwahi kwenda marekani watu wanaona ni kitu cha ajabu sana kana kwamba marekani ni mbinguni,jamani ni matope gani yaliyowajaa vichwani mwenu? kuna watanzania wanaenda kule kila wiki kuna kabinti kanamiaka saba pekee alitoka miami hadi dar peke yake as young flyer bila wazazi wala mtu wa kumsindikiza,jaman hebu tuachen upuzi wa kupaona marekani kama mbinguni