Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

bado inakataa mkuu,milion 800 zidisha kwa heka 20000 sawa na sh bilion 1600 kama sikosei,hiyo hela inazidi hela za mtaji wote wa mradi,so haiwezekani

Mkuu hawa hawatokaa waelewe...

Mbaya zaid wamejiandalia hukumu yao mkonon na kisha wanataka wafanye maamuz ya kumtia hatian mtu wanaemtaka ili wao wafurahi

Wengi wao kipind kile hiz habari zimepamba moto walikuwa wanashangilia humu oooh Dau kachinjiwa baharini...kikawashuka Dau alipoteuliwa kuwa balozi na kuapishwa hapo waliishiwa nguvu na kulowa kabisa...

Ni watu wa kuachwa hadi ukweli utapowapambazukia...haelewi na wameshaandaa hukumu yao.
 
Asante kwa taarifa nzuri. Katika utaratibu huo wa ardhi kwa hisa, hiyo ardhi ya huko kigamboni NSSF wameithaminisha kwa kiasi gani? Maana hapo ndio naona kuna utata.
 
Mkuu sijakupata vizur hoja yako

Clarify please
Taarifa Hizi ni za Uongo. Ukweli ni Kuwa NSSF haikununua Ardhi eneo la Dege Beach, Kigamboni Kwa thamani ya Milioni 800 Kwa Kiwanja, imepewa Ardhi Bure Ili iwekeze Kwa kuingia Ushirika wa Mradi Katika Ardhi ya Mtu Binafsi (Kampuni ya Azimio).


Point yangu ni pale unaposema hawakununu bali wamepewa bure!! Hiyo ni upotoshaji!!

By the way, hicho kiwanja kilichokuwa valued at 800 million ni size gani na kinauwezo wa kujenga nyumba ngapi!!? Maana nijuavyo mimi sehemu kubwa Dege ni ya makazi. Sasa ili kupata faida kiwanja cha 800 million itabidi zijengwe nyumba za kutosha kwenye kila kiwanja.
 
We si ndo mumeo watu waimpende sura yenyewe kama chura
 
Wewe kama mmojawapo wa Wakurugenzi au Mameneja subiri kwenda Ukonga tu ukanyee ndoo!!
 
AZIMIO na AKBAR,VIWANDA NA MAKONDA!! JE UNAMJUA AKBAR? EKARI 1500 KUCHERE.
 

Kuapishwa kuwa balozi si kinga kwa uchunguzi unaoendelea ili afungwe,atarudishwa nchini na mahakama itafanyakazi yake
 
Dah hii nchi hiii....

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app

Yaani YAKUSADIKIKA! WAHENGA WALISEMA "MCHIMBA KISIMA KAINGIA MWENYEWE" ....WHATS GOES AROUND COMES AROUND" kuna funzo kubwa sana la KUJIFUNZA KWA WENYE KUTAFAKKAR ! kwamba wakati wote mwisho wa ubaya ni AIBU!
 
 
Mijitu mingine hovyo sana, taarifa za internal auditor, CAG, TAKUKURU,USALAMA vyote viwe vinasema uwongo tu.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nasubiri kwa ham kusoma Jinsi Paskal Mayala atakavyokuja kumjibia na kumtetea huyu Mkurugezi mpya
Mkuu,
Samvulachole
Unapojitokeza kusema ukweli unajijengea heshima kubwa humu jf, na siku zote ukweli ndio huwa unasimama mpaka mwisho.

Lakini unapojenga hoja serious na very relevant kama hii, sii vyema kuingiza majungu, uwongo na uzushi kwa kuingiza personalities unnecessarily, hivyo ili kulinda integrity ya ukweli wako, na bandiko hilo, ama una wajibu wa kujibu hoja ulizoibua katika bandiko lako ambalo mpaka sasa mimi bado nakusubiria majibu ya maswali yangu haya, vinginevyo kama huna majibu, then utakuwa umefanya ustaarabu mkubwa kama utaifuta the last paragraph ili tuendelee na mjadala bila unnecessary personalised na innuendos.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…