Basi hao waliofanya project analysisi wana uelewa kama wako!
Inawezekana pia Waliosema NSSF imenunua Kiwanja Kigamboni kwa Million 800 Wana uelewa Kama wako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hao waliofanya project analysisi wana uelewa kama wako!
Hiyo ni point muhimu. ni nadra awamu iliyopita miradi mikubwa inaondoka bila kifuru. haya mambo ya kuja jf kujiulizisha na kujijibu yanahitaji kukoma.kama hakuna uchafu kuweweseka kwa niniKampuni ya Azimio ni ya nani???? Wabia wake ni kina nani??? Tuanzie hapo ndo wengine tunaojua fika ufisadi wa kihuni ulivyofanyika tushushe upupu!
pengine waliokuwepo hata watu 100 hapo wana viplot vidogo na wangejua kuna deal la kununua viwanja kwa mradi mkubwa lazima bei ingeshoot,lakini bado tena nssf ingebidi atafute mtu wa kufanya naye kazi,isitoshe haya maswali mahakamani hayatasaidia,eti kwamba kwanini msinunue badala ya kuingia ubia,
atakujibu wao kama management waliona kuingia ubia ni more productive kuliko wao ndo waendeshe mradi wote,wasingeweza hawana exprience pia wana majukumu ya kufanya ofisini na sio kusimamia ujenzi wa majengo,pia kununua ardhi directly kama alivyosema pohamba kungehitaji cash,kwamaana ingine huo mradi ungeweza kuwa katika stage ya michoro bado,tofauti na sasa phase one inaelekea kumalizika
Kuna watu ambao kwa nguvu zote wanataka kumtete Dau, NSSF ni mali ya wafanyakazi wa changiaji wa mfuko, tuna haja ya kuoji hii miradi maana ni pesa zetu, Hii kampuni ya azimio ni ya wapiga dili na kina Dau wamo, sasa nyinyi mnatoa povu kutetea, itakua ndio ninyi mlio nufaika na ajira za kiudini na undugu pale NSSF . Shame on u. Ipo siku utasikia Dau anatoka milango ya kisutu, apo ndio utajua jamaa alikua mpiga dili
mi sijui kama utaratibu inatakiwa uende kwa CAG ukabarikiwe,na kwamba haukwenda..Je mkataba ukimpelekea kwa AG kwa authenticication kama utaratibu unavyotaka? Kama LA,ni kwanini walokwepa hilo,dau jizi tu
mi sijui kama utaratibu inatakiwa uende kwa CAG ukabarikiwe,na kwamba haukwenda..
Nachojua tumepangua uongo uliotengezwa na watu wanaodhani watanzania wote hawana akili,
NSSF haijawahi kununua hekali moja kwa milioni 800
Kweli dau kafanya makubwa maana upigaji huu haujawahi kutokea nchini tangu ipate uhuruKumtetea Dau kivip?
Sasa wewe ukitakaje tusisimamie ukweli na tuwaache nyinyi mkifanya character assassination kwa mtu kama Dau ambae kayafanyia makubwa nchi hii hususan hapo Nssf?
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.Inawezekana pia Waliosema NSSF imenunua Kiwanja Kigamboni kwa Million 800 Wana uelewa Kama wako!
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.
sio kununua tu..eneo wanalo...why walienda kukimbilia eneo la Akbar?Najiuliza bado kwanini NSSF hawakununua ardhi Kigamboni kisha waiendeleze wenyewe wakati maeneo kigamboni yapo wazi mengi tu? Kwanini waingie ubia na kampuni binafsi tena yeye ndio awe main shareholder? Mpaka hapo project ilipofikia, Azimio wameshatoa cash kiasi gani?
Hiyo Azimio ni ya nani? Who are the shareholders?
Mkuu wabongo na nyumbu hatuna tofauti. Mtu hajiulizi mara mbili, tayari anakurupuka, na akikurupuka mmoja wengi wanafuata. Tusamehane tu!Haya majinga hayataki kuelewa hilo yanang'ang'ania Nssf nimenunua shwaini hawa hebu waeleweshe mkuu
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.
bado inakataa mkuu,milion 800 zidisha kwa heka 20000 sawa na sh bilion 1600 kama sikosei,hiyo hela inazidi hela za mtaji wote wa mradi,so haiwezekaniTofautisha AG NA CAG,pia Nssf haikununua Bali waliingia ubia kwa thamani ya Tshs 800m kwa hekta ndiko wizi wa dau ulipo
kwanza mradi bado ndo kwanza unaelekea kumaliza phase one,azimio katoa kiwanja,na katoa karibu bilioni 12,kiwanja cha milioni 25kigamboni ongeza 35%ambayo mhindi wa azimio hajatoa hata kumi kinampa haki ya kumiliki 55% ya Mali za wafanyakazi masikini wa Tanzania huku ****** wa uvccm wakija huku kutetea utumbo na kujiita wazalendo?
dawa ya magonjwa yote haya ni upinzani kushika dola. basi.
kuendelea kuwa-recycle watu wale wale kwa kuwapa chokaa is a f....g waste of space!
kampuni ni Entity inayojitegemea,na iliingia ubia kihalali kupitia mpango wa public private partinership(PPP),Hiyo ni point muhimu. ni nadra awamu iliyopita miradi mikubwa inaondoka bila kifuru. haya mambo ya kuja jf kujiulizisha na kujijibu yanahitaji kukoma.kama hakuna uchafu kuweweseka kwa nini
waliingia ubia ndani ya mpango wa PPP,NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.