Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

Mkuu Mayala! Heshima yako!
Lazima watu wakubali kusema ukweli. Mambo ya ovyo yaliyofanywa na Watumishi wa NSSF ingekuwa China walipaswa kunyongwa.
Inauma kuona mijitu iliyokula pesa zetu inaleta mibandiko ya kipuuzi hapa. Nafikiri TAKUKURU ya sasa itafanya kazi yake kuwaburuta mahakamani kwa kuwa haitoshi tu kuwafukuza kazi.
 
Mkuu I salute you. Umefafanua kisomi. Utakuwa umebobea kwenye Finance, hasa Real Estate.
 



makes sense

sasa zile story zingine magazetini zilitoka wapi?
 
Sasa huyu mkurugenzi wa sasa wa NSSF au hiyo MANAGEMENT mpya in Plan gani kwa sasa ? Au baado mapema kwa sasa kuona wamelita TIJA gani kwany SHIRIKA muda haurudi nyuma bali unasonga mbele .

Maan watu walisema kwamba MKURUGENZI aliye pita au MANAGEMENT iliyo pita ilikuwa na ukakasi lkn watu wameona mambo yaliyo fanyika project zote zimeonekana na zina TIJA kubwa japo zingine wamezicancalle na faida yake itaendelea kuonekana na kizazi kijacho .
 


sasa nimeelewa

kwa maelezo haya inaonekana kuwa huyu mkurugenzi wa sasa alikuwa anafanyia sabotage mkurugenzi aliyeondoka aonekane hajafanya kazi yoyote

Huyu jamaa mpya toka ameingia sijaona cha maana kilichofanyika

na mafao yetu tunashindwa kuyapata
 
Maandishi mengi lakini hakuna logic ndani yake
Huyo mwekezaji tapeli aliweka kitu gani hadi amilikishwe 55%? Alikuwa hana pesa na ardhi yake yenye hati ilikuwa eka 1 tu.
Unasema NSSF alipewa ardhi bure,je huyo tapeli mwekezaji alitoa nini cha zaidi?
Unatoa mifano yenye mapungufu unategemea ndio kiwango cha ubia?
Kama NSSF ana pesa ya kuendesha mwenyewe mradi bila Tapeli huoni kwamba kumuunganisha tapeli utaongeza gharama ya mradi?Hiyo shule ya kukumbatia ulofa ulisomea wapi?
Peleka upupu huo China kama utasalimika ni kitanzi tu.
 
Kipande kipi kwenye maelezo hapo juu hujaelewa?
 
Mtoa post katoa yake ya moyoni ila tatizo moja nililo ona kwake ni kwamba amekua so obssesed na kutetea management iliyopigwa chini na kawa mvivu kutaka jua nini new management inaona kinafaa kwa sasa katika mradi. Hzo terminologies za potential value,market value na equit holdings CAG anazijua sna. sisi tunataka kujua je,kuna ufisadi katika mradi? kiwango gani? hasara katika mradi ni ipi? wahusika ni nani? adhabu ni nini kwa mujibu wa sheria. Mradi huu ni kiashiria cha funzo gani kwa miradi mingine. nukta.
 
Hujaleta counter argument ya thread starter

Elezea wapi unapinganako kwenye hiyo land for equity

Surely Grey thinker kama wewe cam.do better than hiyo post uliyoweka hapo you.

Lete counter argument ya kila.point iliyowekwa hapo
 
JAMIIFORUMS standards kweli zimeshuka

Hivi kwa mtiririko wa hoja na somo lililosheheni mifano mbali mbali bado watu wagumu kuelewa?

kwa jinsi nilivyoelewa ni kuwa:

LAND FOR EQUITY inafanywa na mashirika mbali mbali hapa Tanzania

PPF, NHC, TPDC, TBA, etc wote wanafanya hii kitu

CAG report ilipiti kila kitu kwenye huu mradi wa Dege na ikajiridhisha kuhusu hii issue ya LAND FOR EQUITY

Kamati ya bunge ilipitia upya kila kitu na ikajiridhisha kuwa haina tatizo na ikatoa go ahead project iendelee

Kitu ambacho sijakielewa ni kwa nini DG mpya wa NSSF anasema kuwa project ya DEGE ina matatizo? Na kwa nini hajaweka wazi hayo matatizo? na mbona hatujaonyeshwa evidence yoyote kuwa kuna matatizo kwenye mradi?

Something is not sight hapa

the bottom line ni kuwa watu wengi wamekosa ajira, NSSF under new management wameshindwa kuendelea na mradi, serikali imekosa ajira na hapa kinachoonekana kuna uhujumu uchumi maana sserikali pia inakosa mapato na kutokana na hizi confusing statemenrs toka NSSF hata kama wangekuwa wanatoa hizo nyumba BURE mimi siwezi kununua kwa sababu kuna mambo ambayo hayako sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…