Ukweli kuhusu msanii Baghdad

Ukweli kuhusu msanii Baghdad

Zamani mtu akikonda hakuna namna ataambiwa umeme!siku hizi huskii hivyo tena.mtu akikonda sasahivi ni sukari,kansa au uteja yaani ndo habari ya mjini.
Siku hizi ngoma haikondeshi inanenepesha
 
Zamani mtu akikonda hakuna namna ataambiwa umeme!siku hizi huskii hivyo tena.mtu akikonda sasahivi ni sukari,kansa au uteja yaani ndo habari ya mjini.
Siku hizi ngoma haikondeshi inanenepesha
[emoji28][emoji28]
 
alitumia dawa, yeye mwenyewe alisema. kuna kipindi hata Mustafa Hassanali naye alipungua sana ila siku hizi unene umerudi kiasi.
 
Kamba to kamba
Rasta amepewa bucha nyama zimeshushwa bei
Mexicana lacavela
 
nimemsikiliza baada ya kusoma kwako,anajitahidi, ila kama amejikondesha kwa hiari amekosea sana,labda kama anataka kucheza movie ya kuumwa kansa and the like
....yani mwili wake,gharama zake we bado wasema 'amekosea sana!'
..fanya yako.
.nonsense!
 
Hiyo dawa aliipata hapa bongo au alisafiri majuu
 
Back
Top Bottom