Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]Zamani mtu akikonda hakuna namna ataambiwa umeme!siku hizi huskii hivyo tena.mtu akikonda sasahivi ni sukari,kansa au uteja yaani ndo habari ya mjini.
Siku hizi ngoma haikondeshi inanenepesha
Gogfrey Kweka.kama kuna m2 anajua account yake ya fb anijuze samahan lakn
....yani mwili wake,gharama zake we bado wasema 'amekosea sana!'nimemsikiliza baada ya kusoma kwako,anajitahidi, ila kama amejikondesha kwa hiari amekosea sana,labda kama anataka kucheza movie ya kuumwa kansa and the like
Kweli aisee! Hata kukonda kwake pia ni sehem ya usaniiNchi hii ina wasanii wengi sana.
P0A NGOJA NIMCHEKIGogfrey Kweka.