Ukweli kuhusu muda

Ukweli kuhusu muda

Joined
May 18, 2023
Posts
27
Reaction score
38
TUJUWE KWELI KAMA MDA NDIYO HIVI KULINGANA NA MITAZAMO YA HAWA NDUGU.
SmartSelect_20231117-223205_Google.jpg
 
Muda ni concept inayotuwezesha kupanga ratiba na kufanikisha kukutana. Ni kama GPS coordinates, ni za kutunga ila zinatuwezesha kukutana location husika. Ila itakuwaje mmoja akifika wakati wa asubuhi na mwingine usiku? Mtakutana bila kupeana muda wa kukutana?
 
Kibinafsi muda ni uhalisia ulipo una kuwa na thamani kulingana na zama za kihumbe hai katika mwisho wake na ndiyo maana mda ni mpya kwa kila kiumbe ." Muda upo tu siku zote lakini upo kwa kitu kipya.
 
Muda sio rafiki wa Mwanadamu maana yake muda ndio adui namba moja wa Mwanadamu
 
Muda ni concept inayotuwezesha kupanga ratiba na kufanikisha kukutana. Ni kama GPS coordinates, ni za kutunga ila zinatuwezesha kukutana location husika. Ila itakuwaje mmoja akifika wakati wa asubuhi na mwingine usiku? Mtakutana bila kupeana muda wa kukutana?
Boss, Nadhani kuna tofauti ya majira, nyakati, masaa na muda. Muda ni concept pana zaidi, nyakati na majira zipo ndani ya muda, masaa yapo ndani ya muda.

Muda ni matokeo ya uwepo na ufahamu kwa pamoja. Nje ya mfumo wa jua muda upo kisichokuwepo ni masaa na majira.
 
Muda sio kitu kwa Mwanadamu muda ni adui mda ukisogea kwa mtu ambae hajala chochote anajihisi kufa kufa kadri muda unavyosogea na huko tumbo linazidi kudai mafao yake
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh

Mkuu Haya unayosema ni majira, yapo ndani ya muda au ni sehemu ndogo sana ya muda ambayo ndani yake binadamu ameyavunja vunja akabuni masaa, wiki, mwezi, mwaka.

Muda ni existance. (Uwepo). Yaani ili tuseme kuna uwepo na ufahamu lazima muda utangulie kwanza. Kuna msemo unasema ulimwengu upo ndani ya muda.
 
Mkuu Haya unayosema ni majira, yapo ndani ya muda au ni sehemu ndogo sana ya muda ambayo ndani yake binadamu ameyavunja vunja akabuni masaa, wiki, mwezi, mwaka.

Muda ni existance. (Uwepo). Yaani ili tuseme kuna uwepo na ufahamu lazima muda utangulie kwanza. Masaa na majira yapo ndani ya muda. Kuna msemo unasema ulimwengu upo ndani ya muda.
Sio ulimaengu tu hata wewe upo ndani ya muda sasa ukienda kinyume na muda muda unakuacha tu
 
Kwangu : "Time is illusion" muda ni mauzauza. Advance physics inasema past, present na future zote zina exists kwa wakati mmoja. Mambo ya speed of light, gravity tuki yaleta hapa tuta wachangaya wana JF
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Muda ni mabadiliko, yaani michakato.

Ulimwengu mzima ukitulia bila kubadilika kakitu kokote, yaani bila mchakato wowote hapo muda hautasogea.

Na wala hakuna mtu atajua.

In fact, labda tushagandishwa saana tu na kuganduliwa mara kibao na maisha yakaendelea🤯
 
Sio ulimaengu tu hata wewe upo ndani ya muda sasa ukienda kinyume na muda muda unakuacha tu
🤔Huwezi kwenda kinyume na muda mkuu. Ni sawa na kusema unaenda njia tofauti na gari ulilopanda. Uende kusini huku lenyewe likienda kaskazini.
 
Ushawahi kushikwa na njaa ya kufa? Ukaenda kinyume na muda sahihi wa kula?
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Muda huathiri kila kitu katika dunia...
Sijajua katika ulimwengu huko
 
Boss, Nadhani kuna tofauti ya majira, nyakati, masaa na muda. Muda ni concept pana zaidi, nyakati na majira zipo ndani ya muda, masaa yapo ndani ya muda.

Muda ni matokeo ya uwepo na ufahamu kwa pamoja. Nje ya mfumo wa jua muda upo kisichokuwepo ni masaa na majira.
Em ngoja kwanza, now nina usingizi, tuongee kesho vizuri
 
  • Thanks

Back
Top Bottom