ambokileambakisye
Member
- May 18, 2023
- 27
- 38
TUJUWE KWELI KAMA MDA NDIYO HIVI KULINGANA NA MITAZAMO YA HAWA NDUGU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda sio rafiki wa Mwanadamu maana yake muda ndio adui namba moja wa MwanadamuKibinafsi muda ni uhalisia ulipo una kuwa na thamani kulingana na zama za kihumbe hai katika mwisho wake na ndiyo maana mda ni mpya kwa kila kiumbe ." Muda upo tu siku zote lakini upo kwa kitu kipya.
Boss, Nadhani kuna tofauti ya majira, nyakati, masaa na muda. Muda ni concept pana zaidi, nyakati na majira zipo ndani ya muda, masaa yapo ndani ya muda.Muda ni concept inayotuwezesha kupanga ratiba na kufanikisha kukutana. Ni kama GPS coordinates, ni za kutunga ila zinatuwezesha kukutana location husika. Ila itakuwaje mmoja akifika wakati wa asubuhi na mwingine usiku? Mtakutana bila kupeana muda wa kukutana?
Muda sio kitu kwa Mwanadamu muda ni adui mda ukisogea kwa mtu ambae hajala chochote anajihisi kufa kufa kadri muda unavyosogea na huko tumbo linazidi kudai mafao yakeBoss, Nadhani kuna tofauti ya majira, nyakati, masaa na muda. Muda ni concept pana zaidi, nyakati na majira zipo ndani ya muda, masaa yapo ndani ya muda.
Muda ni matokeo ya uwepo na ufahamu kwa pamoja. Nje ya mfumo wa jua muda upo kisichokuwepo ni masaa na majira.
Mkuu Haya unayosema ni majira, yapo ndani ya muda au ni sehemu ndogo sana ya muda ambayo ndani yake binadamu ameyavunja vunja akabuni masaa, wiki, mwezi, mwaka.Muda sio kitu kwa Mwanadamu muda ni adui mda ukisogea kwa mtu ambae hajala chochote anajihisi kufa kufa kadri muda unavyosogea na huko tumbo linazidi kudai mafao yake
Sio ulimaengu tu hata wewe upo ndani ya muda sasa ukienda kinyume na muda muda unakuacha tuMkuu Haya unayosema ni majira, yapo ndani ya muda au ni sehemu ndogo sana ya muda ambayo ndani yake binadamu ameyavunja vunja akabuni masaa, wiki, mwezi, mwaka.
Muda ni existance. (Uwepo). Yaani ili tuseme kuna uwepo na ufahamu lazima muda utangulie kwanza. Masaa na majira yapo ndani ya muda. Kuna msemo unasema ulimwengu upo ndani ya muda.
🤔Huwezi kwenda kinyume na muda mkuu. Ni sawa na kusema unaenda njia tofauti na gari ulilopanda. Uende kusini huku lenyewe likienda kaskazini.Sio ulimaengu tu hata wewe upo ndani ya muda sasa ukienda kinyume na muda muda unakuacha tu
Ushawahi kushikwa na njaa ya kufa? Ukaenda kinyume na muda sahihi wa kula?🤔Huwezi kwenda kinyume na muda mkuu. Ni sawa na kusema unaenda njia tofauti na gari ulilopanda. Uende kusini huku lenyewe likienda kaskazini.
Em ngoja kwanza, now nina usingizi, tuongee kesho vizuriBoss, Nadhani kuna tofauti ya majira, nyakati, masaa na muda. Muda ni concept pana zaidi, nyakati na majira zipo ndani ya muda, masaa yapo ndani ya muda.
Muda ni matokeo ya uwepo na ufahamu kwa pamoja. Nje ya mfumo wa jua muda upo kisichokuwepo ni masaa na majira.
Kwangu : "Time is illusion" muda ni mauzauza. Advance physics inasema past, present na future zote zina exists kwa wakati mmoja. Mambo ya speed of light, gravity tuki yaleta hapa tuta wachangaya wana JF