Nyota ni mambo ya kichawiWadau wa JF, nimekuwa nkifatilia na kusoma kuhusu nyota tangu nipo primary lakini huwa sipati conectin vizuri kati ya nyota husika mfano mashuke au Nnge na maisha halisi, wakati mwingine huwa nafikria ni mambo ya kichawi, naomba mwenye uelewa vizuri atupe hapa tujifunze
Wadau wa JF, nimekuwa nkifatilia na kusoma kuhusu nyota tangu nipo primary lakini huwa sipati conectin vizuri kati ya nyota husika mfano mashuke au Nnge na maisha halisi, wakati mwingine huwa nafikria ni mambo ya kichawi, naomba mwenye uelewa vizuri atupe hapa tujifunze
Mzizi wale walio zaliwa 17 January wana nyota gani na Usiku zao zikoje .kuna brother wangu yeye huwa anafuatilia hiyo tarehe ila hajawahi pata taarifa zake MKUU
NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)
UHUSIANO WA KIMAPENZI
- Hii ni nyota ya sita kwenye mlolongo wa nyota 12.
- Wenye nyota hii ni wale wote ambao wamezaliwa kati ya tarehe 23 Agosti na 22 Septemba ya mwaka wowote.
- Siku yao ya bahati ni Jumatano.
- Namba yao ya bahati ni 5.
- Rangi zao ya bahati ni Njano na Bluu isiyoiva.
- Asili yao ni Udongo.
(MASHUKE NA SAMAKI):
Tabia ya Samaki ya fikra na ndoto za mambo ya baadae inapata faraja kubwa kwa Mashuke ambao ni wenye busara na wanaopenda kutumika na kutekeleza yale wanayotakiwa kufanya wakati wowote.
Mzizi wale walio zaliwa 17 January wana nyota gani na Usiku zao zikoje .kuna brother wangu yeye huwa anafuatilia hiyo tarehe ila hajawahi pata taarifa zake MKUU
Mkuu samaki ndo alozaliwa mwez gan maana mm ni mashuke
NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)
UHUSIANO WA KIMAPENZI
- Hii ni nyota ya sita kwenye mlolongo wa nyota 12.
- Wenye nyota hii ni wale wote ambao wamezaliwa kati ya tarehe 23 Agosti na 22 Septemba ya mwaka wowote.
- Siku yao ya bahati ni Jumatano.
- Namba yao ya bahati ni 5.
- Rangi zao ya bahati ni Njano na Bluu isiyoiva.
- Asili yao ni Udongo.
(MASHUKE NA SAMAKI):
Tabia ya Samaki ya fikra na ndoto za mambo ya baadae inapata faraja kubwa kwa Mashuke ambao ni wenye busara na wanaopenda kutumika na kutekeleza yale wanayotakiwa kufanya wakati wowote.
Huwa napenda kufatilia makala zako mkuu kujiongezea maarifa.Katika masuala ya nyota ningependa kujua mtu aliyezaliwa mwezi wa 5 ni nyota gani? Pia katika kusoma makala nyingi nimegundua mtu anaweza tambua nyota yake kwa kuangalia mwezi aliozaliwa au jina lake LA mwanzo.Je ni kwa nn baadhi ya watu akitazama Mwezi wa kuzaliwa na Jina lake la mwanzo anakuta nyota tofauti?
NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)
UHUSIANO WA KIMAPENZI
- Hii ni nyota ya sita kwenye mlolongo wa nyota 12.
- Wenye nyota hii ni wale wote ambao wamezaliwa kati ya tarehe 23 Agosti na 22 Septemba ya mwaka wowote.
- Siku yao ya bahati ni Jumatano.
- Namba yao ya bahati ni 5.
- Rangi zao ya bahati ni Njano na Bluu isiyoiva.
- Asili yao ni Udongo.
(MASHUKE NA SAMAKI):
Tabia ya Samaki ya fikra na ndoto za mambo ya baadae inapata faraja kubwa kwa Mashuke ambao ni wenye busara na wanaopenda kutumika na kutekeleza yale wanayotakiwa kufanya wakati wowote.
Uchawi ni nini ??Nyota ni uchawi,,na usipende kufuatilia nyota
.uchawi ni ninAcha kuendekeza mambo ya kichawi!
Unapotumia nguvu za mashetani au uwezo ambao una ushaidi tosha kuwa si wa Mungu mwenyezi, hapo unafanya uchawi..uchawi ni nin