Ukweli kuhusu nyota

Ukweli kuhusu nyota

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
884
Reaction score
1,432
Wadau wa JF, nimekuwa nkifatilia na kusoma kuhusu nyota tangu nipo primary lakini huwa sipati conectin vizuri kati ya nyota husika mfano mashuke au Nnge na maisha halisi, wakati mwingine huwa nafikria ni mambo ya kichawi, naomba mwenye uelewa vizuri atupe hapa tujifunze
 
Nyota ni mambo ya kichawi
 
Acha kuendekeza mambo ya kichawi!
 
Wadau wa JF, nimekuwa nkifatilia na kusoma kuhusu nyota tangu nipo primary lakini huwa sipati conectin vizuri kati ya nyota husika mfano mashuke au Nnge na maisha halisi, wakati mwingine huwa nafikria ni mambo ya kichawi, naomba mwenye uelewa vizuri atupe hapa tujifunze

NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)

  • Hii ni nyota ya sita kwenye mlolongo wa nyota 12.
  • Wenye nyota hii ni wale wote ambao wamezaliwa kati ya tarehe 23 Agosti na 22 Septemba ya mwaka wowote.
  • Siku yao ya bahati ni Jumatano.
  • Namba yao ya bahati ni 5.
  • Rangi zao ya bahati ni Njano na Bluu isiyoiva.
  • Asili yao ni Udongo.
UHUSIANO WA KIMAPENZI
(MASHUKE NA SAMAKI):

Tabia ya Samaki ya fikra na ndoto za mambo ya baadae inapata faraja kubwa kwa Mashuke ambao ni wenye busara na wanaopenda kutumika na kutekeleza yale wanayotakiwa kufanya wakati wowote.
 
Mzizi wale walio zaliwa 17 January wana nyota gani na Usiku zao zikoje .kuna brother wangu yeye huwa anafuatilia hiyo tarehe ila hajawahi pata taarifa zake MKUU
 
Nyota ya 10 nı nyota ya Mbuzi: Desemba 22 – Januari 19

alama-za-nyota_mbuzi

Ni alama ya udongo na mwenye kuhitaji nyumba yenye amani ili kuhisi ukamilifu.

Mwenye malengo , mipango na matarajio makubwa

Ni mtatuaji wa matatizo kwa vitendo na mapangiliaji mzuri wa mambo-Mtendaji

Ni mwenye mipango na mfuatiliaji wa mipango yake

Si mshirikishaji mzuri mpaka aombwe au asukumwe.

Ni mpenzi mzuri na rafiki wa maisha

Mgumu kubadilika

Mbishi na asiyekubari kushindwa kirahisi

Mfanyabiashara

Mwajibikaji

UHUSIANO WA KIMAPENZI (NYOTA YA MBUZI NA NYOTA YA KAA)
Tabia ya Mbuzi ya ubahili na kutopenda anasa hulainishwa na tabia ya Kaa ya upendo, mapenzi na huruma.

USHAURI WANGU:
Una nyota nzuri lakini kila ukifanya jambo huwa haliwi? Unajiuliza kwa
nini kila nikifanya mambo yangu yanaharibika?Jibu haulipati Jibu lake ni utakuwa umerogwa au nyota yako imechukuliwa na wachawi au mtu mwengine anaitumia ukitaka mambo yako yawe mazuri kupandishwa nyota yako iwe juu iwe ina ng'ara na kufanikiwa kwa mambo yako na kupata pete ya nyota yako pete ya bahati na kinga unaweza kunitafuta kwa njia hizi hapa chini.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)

  • Hii ni nyota ya sita kwenye mlolongo wa nyota 12.
  • Wenye nyota hii ni wale wote ambao wamezaliwa kati ya tarehe 23 Agosti na 22 Septemba ya mwaka wowote.
  • Siku yao ya bahati ni Jumatano.
  • Namba yao ya bahati ni 5.
  • Rangi zao ya bahati ni Njano na Bluu isiyoiva.
  • Asili yao ni Udongo.
UHUSIANO WA KIMAPENZI
(MASHUKE NA SAMAKI):

Tabia ya Samaki ya fikra na ndoto za mambo ya baadae inapata faraja kubwa kwa Mashuke ambao ni wenye busara na wanaopenda kutumika na kutekeleza yale wanayotakiwa kufanya wakati wowote.
Mkuu samaki ndo alozaliwa mwez gan maana mm ni mashuke
 
NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)

  • Hii ni nyota ya sita kwenye mlolongo wa nyota 12.
  • Wenye nyota hii ni wale wote ambao wamezaliwa kati ya tarehe 23 Agosti na 22 Septemba ya mwaka wowote.
  • Siku yao ya bahati ni Jumatano.
  • Namba yao ya bahati ni 5.
  • Rangi zao ya bahati ni Njano na Bluu isiyoiva.
  • Asili yao ni Udongo.
UHUSIANO WA KIMAPENZI
(MASHUKE NA SAMAKI):

Tabia ya Samaki ya fikra na ndoto za mambo ya baadae inapata faraja kubwa kwa Mashuke ambao ni wenye busara na wanaopenda kutumika na kutekeleza yale wanayotakiwa kufanya wakati wowote.
Huwa napenda kufatilia makala zako mkuu kujiongezea maarifa.Katika masuala ya nyota ningependa kujua mtu aliyezaliwa mwezi wa 5 ni nyota gani? Pia katika kusoma makala nyingi nimegundua mtu anaweza tambua nyota yake kwa kuangalia mwezi aliozaliwa au jina lake LA mwanzo.Je ni kwa nn baadhi ya watu akitazama Mwezi wa kuzaliwa na Jina lake la mwanzo anakuta nyota tofauti?
 
.uchawi ni nin
Unapotumia nguvu za mashetani au uwezo ambao una ushaidi tosha kuwa si wa Mungu mwenyezi, hapo unafanya uchawi.
Uchawi unatia ndani Kuroga, Pepo, Kuwasiliana na Roho Waovu, na Ibada ya Shetani.

Mungu alikataza uchawi, soma (Mambo ya Walawi 19:26) “Asionekane kwako mtu . . . atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo.”

Na ukisoma zaidi katika Kumbukumbu la Torati 18:10-11. Utapata elewa zaidi uchawi ni nini.

Kwa kuongezea, Matendo ya Mitume 19:19 "Kwa kweli, idadi kubwa ya wale waliozoea kufanya uchawi wakakusanya vitabu vyao pamoja na kuviteketeza mbele ya kila mtu. Nao wakafanya hesabu na kupata vitabu hivyo vilikuwa na thamani ya vipande 50,000 vya fedha."
 
Back
Top Bottom