Ukweli kuhusu pesa za kujikimu za walimu

Huku meru hata vituo hatujapewa ni shida tuu tunahangaika mitaani,unashinda halmashauri na hupewi taarifa ya maana,mfano leo mpk saa hii tupo hapa na hatujaambiwa kitu.
Upo Meru mkuu aise msalimie utumishi mkotokochi
 
Nyie walimu endeleeni kuumiza keyboard tu.. wenzenu madereva wanawalk the talk!!

Nchi hii haiendi kwa kuumiza keyboard.. wenzenu sasa hivi wanakula viyoyozi maofisini. Kama kuna watu ambao hawajui nguvu ya umoja wao basi ni walimu!! walimu mnaweza kuliambia jiwe tembea na likatembea... get up and stand for your right!!
 
Eleweni hela ya kujikimu kwa mujiju wa kanuni za utumishi wa uma hulipwa na halmashauli husika hivyo inategemea na mapato yao, pia inategemea kama wana pesa kwa mda huo, hivyo unaweza kuanza kazi na dai kwa barua na endelea kufatilia na kukumbushia mara kwa mara watakulipa. ukiambiwa kurudi nyumbani mpaka salary isome ni sawa kwanza hapo nifeva kwani wengine huambiwa kuendelea na kazi wakati chambi hakuna. pia msiporuhusiwa mashureni muendako waambieni wakuu wawatunze mpaka bum litoke au mmbane ded awakopeshe ila huwa wanakopesha km mm kipindi naajiriwa ded alitukopesha, kila lahel . kumbuka sasa hivi unaitamani kazi hata usingizi hauji subiri miaka mitatu baada ya kuzoea utaanza kuijutia kwa nini niliajiliwa. maisha mema!

hilo nalo neno.. nimefanya jazi 4 years.. gross salary ni mshahara wa walimu watano kwa hesabu za haraka haraka.

lakini kazi nimeichoka mbaya na natamani niondokane na maisha haya ya kuajiriwa maana full utumwa
 
Umeona eee.
 
Walimu mnajua kulalamika kweli. Mlikuwa mshatuchosha na nyuzi zenu za malalamishi kuhusu kazi. Sasa mmekuja na la pesa za kujikimu.
Na hili likiisha mtakuja na lingine
 
Meru wanazingua kinyama mi nimeamua kurudi home!
 
Eleweni hela ya kujikimu kwa mujiju wa kanuni za utumishi wa uma hulipwa na halmashauli husika hivyo inategemea na mapato yao, pia inategemea kama wana pesa kwa mda huo, hivyo unaweza kuanza kazi na dai kwa barua na endelea kufatilia na kukumbushia mara kwa mara watakulipa. ukiambiwa kurudi nyumbani mpaka salary isome ni sawa kwanza hapo nifeva kwani wengine huambiwa kuendelea na kazi wakati chambi hakuna. pia msiporuhusiwa mashureni muendako waambieni wakuu wawatunze mpaka bum litoke au mmbane ded awakopeshe ila huwa wanakopesha km mm kipindi naajiriwa ded alitukopesha, kila lahel . kumbuka sasa hivi unaitamani kazi hata usingizi hauji subiri miaka mitatu baada ya kuzoea utaanza kuijutia kwa nini niliajiliwa. maisha mema!

Waambie baba ualimu kazi mi sipendi hata kidogo hop niiache daah sijui nlitoka wap hukuuu
 
Maisha ni kupambana hasa tumia nguvu na akili nyingi kwenye kujiajiri maana huko mwingine hakuna tuzo am in I ninayowaambia walimu ukifika huko tafuta fursa komaaa Fanya yako kazi ikusaidie tu kupata mikopo isiyo na presha vinginevyo mmekwiishaaaaa
 
Back
Top Bottom