chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
We shall overcome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo Meru mkuu aise msalimie utumishi mkotokochiHuku meru hata vituo hatujapewa ni shida tuu tunahangaika mitaani,unashinda halmashauri na hupewi taarifa ya maana,mfano leo mpk saa hii tupo hapa na hatujaambiwa kitu.
We shall overcome
Sie kwetu wametupa degree 245000 dip 175000
Eleweni hela ya kujikimu kwa mujiju wa kanuni za utumishi wa uma hulipwa na halmashauli husika hivyo inategemea na mapato yao, pia inategemea kama wana pesa kwa mda huo, hivyo unaweza kuanza kazi na dai kwa barua na endelea kufatilia na kukumbushia mara kwa mara watakulipa. ukiambiwa kurudi nyumbani mpaka salary isome ni sawa kwanza hapo nifeva kwani wengine huambiwa kuendelea na kazi wakati chambi hakuna. pia msiporuhusiwa mashureni muendako waambieni wakuu wawatunze mpaka bum litoke au mmbane ded awakopeshe ila huwa wanakopesha km mm kipindi naajiriwa ded alitukopesha, kila lahel . kumbuka sasa hivi unaitamani kazi hata usingizi hauji subiri miaka mitatu baada ya kuzoea utaanza kuijutia kwa nini niliajiliwa. maisha mema!
hilo nalo neno.. nimefanya jazi 4 years.. gross salary ni mshahara wa walimu watano kwa hesabu za haraka haraka.
lakini kazi nimeichoka mbaya na natamani niondokane na maisha haya ya kuajiriwa maana full utumwa
Anaitwa Mkorokoti mkuu in mzinguaji na yy jana alikuwa anapanga factors za kutudanganya nikamfumaUpo Meru mkuu aise msalimie utumishi mkotokochi