MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.
Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.
Kama ukiutumia kwa kiwango cha juu (to the maximum) unaweza kutunza maarifa yote! Duniani tangu dunia ianze na nafasi ikabaki.
Wenye maarifa zaidi karibuni.
Google tu
sidhani kama ina ukweli, km watu tu ambao nmesoma nao sa izi siwakumbuli, sio kweliKatika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.
Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.
Kama ukiutumia kwa kiwango cha juu (to the maximum) unaweza kutunza maarifa yote! Duniani tangu dunia ianze na nafasi ikabaki.
Wenye maarifa zaidi karibuni.
sidhani kama ina ukweli, km watu tu ambao nmesoma nao sa izi siwakumbuli, sio kweli
Ubongo wa mwanadamu uko complicated kuliko mashine yoyote duniani[/QUOTE
Ni kwasababu ubongo ndio umebuni na kuitengeneza mashini au mtambo wowote ule. Pamoja sana
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.
Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.
Kama ukiutumia kwa kiwango cha juu (to the maximum) unaweza kutunza maarifa yote! Duniani tangu dunia ianze na nafasi ikabaki.
Wenye maarifa zaidi karibuni.
sidhani kama ina ukweli, km watu tu ambao nmesoma nao sa izi siwakumbuli, sio kweli
duh hao ni wakali,watu tunasahau sana siku hizi kwa sababu kila kitu hata kidogo cha kukumbuka tunatunza kwenye external memories na sio kwenye ubongo. tumeshindwa kuitumia hii rasilimali ubongo vipaswavyo. angalia mifano michache wenzetu enzi hizo.
mfalme wa assylia alikuwa amekariri majina ya wanajeshi wake wote bila hata kukosea.
kuna jamaa aliitwa calistoste athens enzi hizo alikuwa amekariri neno baada ya neno vitabu vyote vilivyokuwa maktaba ya pale ugiliki bila kukosea.
kuna jamaa mwingine katkika jiji la roma enzi hizo alikuwa amekariri majina ya wakazi wote jiji zima. hata umuamshe usingizini atakutajia.
indonesia kuna jamaa alikuwa amekariri dictionary yote yenye maneno zaidi 57000 ya kichina to englishi. hata umtajie neno gani hashindwi.
ukitaka majina yao ili ujildhishe pia nitakutumia. hawa walikuwa ni watu wa kawaida sana, tena hawakuwa na sifa hata ya kuwa magenious.
kikubwa ni kukubali kuwa watu wengi hatutumii vizuri hii rasilimali.
duh hao ni wakali,
wengi tumekubali kuishia kwenye tradition memorizing .
Kuna upande wa pili unaitwa artifical memory techniques.
Kuna technique INAITWA memory palace.
TAFUTA KITABU KINAITWA MOONWALKING LIKE EINSTAIN. UTAKUTANA NA MAMBO AMBAYO ULIKUWA UAMINI YANAWEZEKANA KUMBE NI MBINU SIO KUTUMIA NGUVU
Ebu tuchambulie mawili matatu kutoka kwenye hicho kitabu tufaidike
nitaandaa makala fupi na kuipost hapa kwa wanaintellijensia. JF ni sehemu ya Kutanua ubongo japokuwa sikuhizi viwango vyetu vimepungua hoja nyingi zimekuwa less paratable.