Ukweli kuhusu ubongo wa mwanadamu

Ukweli kuhusu ubongo wa mwanadamu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,763
Reaction score
5,607
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.

Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.

Kama ukiutumia kwa kiwango cha juu (to the maximum) unaweza kutunza maarifa yote! Duniani tangu dunia ianze na nafasi ikabaki.

Wenye maarifa zaidi karibuni.
 
Google tu
 
sidhani kama ina ukweli, km watu tu ambao nmesoma nao sa izi siwakumbuli, sio kweli
 
Ubongo wa mwanadamu uko complicated kuliko mashine yoyote duniani
 
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.

Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.

Kama ukiutumia kwa kiwango cha juu (to the maximum) unaweza kutunza maarifa yote! Duniani tangu dunia ianze na nafasi ikabaki.

Wenye maarifa zaidi karibuni.

Uzi mmoja hapa ulichimbua kwa kina kirefu maarifa ya ubongo click the link !!
All the best.

cc Monstgala
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama ina ukweli, km watu tu ambao nmesoma nao sa izi siwakumbuli, sio kweli

watu tunasahau sana siku hizi kwa sababu kila kitu hata kidogo cha kukumbuka tunatunza kwenye external memories na sio kwenye ubongo. tumeshindwa kuitumia hii rasilimali ubongo vipaswavyo. angalia mifano michache wenzetu enzi hizo.

mfalme wa assylia alikuwa amekariri majina ya wanajeshi wake wote bila hata kukosea.

kuna jamaa aliitwa calistoste athens enzi hizo alikuwa amekariri neno baada ya neno vitabu vyote vilivyokuwa maktaba ya pale ugiliki bila kukosea.

kuna jamaa mwingine katkika jiji la roma enzi hizo alikuwa amekariri majina ya wakazi wote jiji zima. hata umuamshe usingizini atakutajia.

indonesia kuna jamaa alikuwa amekariri dictionary yote yenye maneno zaidi 57000 ya kichina to englishi. hata umtajie neno gani hashindwi.

ukitaka majina yao ili ujildhishe pia nitakutumia. hawa walikuwa ni watu wa kawaida sana, tena hawakuwa na sifa hata ya kuwa magenious.

kikubwa ni kukubali kuwa watu wengi hatutumii vizuri hii rasilimali.
 
duh hao ni wakali,
 
duh hao ni wakali,

wengi tumekubali kuishia kwenye tradition memorizing .
Kuna upande wa pili unaitwa artifical memory techniques.

Kuna technique INAITWA " Mnemonics " inatumia kitu inaitwa memory palace.

TAFUTA KITABU KINAITWA MOONWALKING LIKE EINSTAIN. UTAKUTANA NA MAMBO AMBAYO ULIKUWA UAMINI YANAWEZEKANA KUMBE NI MBINU SIO KUTUMIA NGUVU
 
Kwani ishu ni number of cells? cell huzaliwa na kufa kila siku, kama ndo hivyo ikifa si ingeenda na kumbu kumbu zote? sidhani kwamba ubongo wetu ni unlimited, hiyo cell moja inaweza kubeba kiasi gani cha kumbukumbu? Maana siwezi kukariri hata page moja ya kitabu (one to one), na bado hajapatikana mtu wa aina hiyo. Hata mtu aliyeandika barua kwa mkono wake hawezi kusoma one to one barua nzima bila kuangalia. Maarifa ni nini? kujaa ni nini? hebu weka article moja nikuelewe.

Fake findings
 
wengi tumekubali kuishia kwenye tradition memorizing .
Kuna upande wa pili unaitwa artifical memory techniques.

Kuna technique INAITWA memory palace.

TAFUTA KITABU KINAITWA MOONWALKING LIKE EINSTAIN. UTAKUTANA NA MAMBO AMBAYO ULIKUWA UAMINI YANAWEZEKANA KUMBE NI MBINU SIO KUTUMIA NGUVU

Ebu tuchambulie mawili matatu kutoka kwenye hicho kitabu tufaidike
 
nitaandaa makala fupi na kuipost hapa kwa wanaintellijensia. JF ni sehemu ya Kutanua ubongo japokuwa sikuhizi viwango vyetu vimepungua hoja nyingi zimekuwa less paratable.
 
Tutashukuru kwa hilo ila ni kweli jf sikuhizi watoto wengi imekua kama facebook na instagram ila tuvumiliane tu
 
Katika harakati ya kusaka maarifa, nimekutana na habari hii kuhusu ubongo wa mwanadamu.

Ubongo wa mwanadamu hauwezi kujaa maarifa.
Ubongo una seli billioni kumi na nne.

Kama ukiutumia kwa kiwango cha juu (to the maximum) unaweza kutunza maarifa yote! Duniani tangu dunia ianze na nafasi ikabaki.

Wenye maarifa zaidi karibuni.

Uki utumia (to the maximum) maana yake utadata(kuweuka ama uchizi)
 
Back
Top Bottom