Ukweli kuhusu usajili wa Simba

Tusidanganyane bwana, wachezaji wote waliosajiliwa na simba wamepostiwa kwenye app ya simba kwahyo ukiona simba hawajapost kwenye app yao ujue hawajamsajili yeyote, viva simba nguvu moja, alafu viongozi msitufanye sisi mashabiki wa simba tuonekane mbumbumbu jaman
 

Wakati ww ukiendelea kuchoma mahindi, Wenzio wanachoma moto jezi ya niyonzima na ngoma pale klabuni..
 
Kwa Hiyo WW Kwa akili yako umesahau kuwa hata Ajibu nawe hujafanya kama unavyo wanaga wenzio AMA kweli kiangazi chura hutaabika sana
 
Picha ya Ajibu WW iko wapi ndo maana kama umeambiwa huna Hiyo aloisema
 
Umenikumbusha,ile rufaa ya Simba kule FIFA imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…