Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 402
Mkataba bado haujaisha subiri jully hizo picha unazozitaka utapewaMkwasa aliongea wazi hata clips zipo mtandaoni , leteni picha za Niyonzima akisaini simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba bado haujaisha subiri jully hizo picha unazozitaka utapewaMkwasa aliongea wazi hata clips zipo mtandaoni , leteni picha za Niyonzima akisaini simba
Habari za weekend wandugu!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.
Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.
Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.
Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .
Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Kwa Hiyo WW Kwa akili yako umesahau kuwa hata Ajibu nawe hujafanya kama unavyo wanaga wenzio AMA kweli kiangazi chura hutaabika sanaHabari za weekend wandugu!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.
Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.
Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.
Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .
Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Picha ya Ajibu WW iko wapi ndo maana kama umeambiwa huna Hiyo aloisemaMkuu kutokuwa kwangu na akili kuko wapi?
Tumeona ujio wa Okwi na picha mmeambatanisha kwanini za Niyonzima na Ngoma hamuweki kuprove hayo mnayoyasema?
Kati ya Mimi na wewe nani hana akili?
Nani anaamini kila uzushi?
Nani amehadaiwa kuhusu rufaa ya FIFA?
Jipange njoo na hoja si matusi.
Ni mpuuzi tu huyo Mkuu mdharau tuuutakuwa huna akili sio bure hebu kalale
Hao Yanga Ni wakenya?Yanga wameisoma namba, walikuwa wanaendesha club kwa kodi zetu!
Usiongee tu et kwa7bu umepewa mdoma akili inatakiwa ikuongozenyozima ndani ya nyumba wewe, yanga mlie tu machozi ya ndoo nzima