Ukweli kuhusu usajili wa Simba

Ukweli kuhusu usajili wa Simba

Tusidanganyane bwana, wachezaji wote waliosajiliwa na simba wamepostiwa kwenye app ya simba kwahyo ukiona simba hawajapost kwenye app yao ujue hawajamsajili yeyote, viva simba nguvu moja, alafu viongozi msitufanye sisi mashabiki wa simba tuonekane mbumbumbu jaman
 
Habari za weekend wandugu!

Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.

Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.

Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.

Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .

Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.

Wakati ww ukiendelea kuchoma mahindi, Wenzio wanachoma moto jezi ya niyonzima na ngoma pale klabuni..
 
Habari za weekend wandugu!

Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.

Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.

Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.

Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .

Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Kwa Hiyo WW Kwa akili yako umesahau kuwa hata Ajibu nawe hujafanya kama unavyo wanaga wenzio AMA kweli kiangazi chura hutaabika sana
 
Mkuu kutokuwa kwangu na akili kuko wapi?
Tumeona ujio wa Okwi na picha mmeambatanisha kwanini za Niyonzima na Ngoma hamuweki kuprove hayo mnayoyasema?

Kati ya Mimi na wewe nani hana akili?
Nani anaamini kila uzushi?
Nani amehadaiwa kuhusu rufaa ya FIFA?
Jipange njoo na hoja si matusi.
Picha ya Ajibu WW iko wapi ndo maana kama umeambiwa huna Hiyo aloisema
 
Umenikumbusha,ile rufaa ya Simba kule FIFA imeishia wapi?
 
Hziipicha zalinii mkuu
IMG-20170625-WA0170.jpg
 
Back
Top Bottom