Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.

Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?

Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.

Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
Umeutaka ukweli sasa nakupa!
Hakuna utajiri wa ndagu.
Kwa mganga unachopata ni NGUVU ya kufanya uzalishaji katika namna ambayo kinachoingia na kukaa ni kikubwa kuliko unachotoa!
Nguvu hiyo husimamiwa na masharti ya mganga.
Ukweli ni kwamba umaskini au utajiri ni hesabu kati ya unavyoingiza au kuthubutu kuingiza dhidi ya unavyotumia.
Ndiyo maana huwezi kupata kutokea kwenye hakuna!
Masharti magumu ni namna tu ya mganga wako kukumiliki ili umtegemee yeye tu!
Wakati mwingine tunachanganya bahati na ndagu.
Kila mtu ana baraka zake na bahati mbaya zake, utofauti huo ni sehem ya asili yenyewe(nature).
SASA UNAWEZA KWENDA KWA MGANGA UTAKAYE LAKIN UTAKACHOAMBULIA NI HIYO NISHATI YA KUJITUMA NA KUJIBANA ILI SURPLUS IMEZE MATUMIZI! NDO UTAJIRI WENYEWE!
Namna ulipo leo ndio mlango wa utajiri ulipo.
mf:... mfanyabiashara utakwepa kodi, utadhulumu, utaiba, utathubutu miradi mingi tofauti.
.... mfanyakazi utakula rushwa, utadhulum serkali na unaowaongoza, utaibia wahisani na wadau, utakwepa kodi.
....Ukiwa mtoa huduma za kijamii kama dini utavuna sadaka nyingi kwa ulaghai, utatumia utumishi kufanya vya haramu (km madawa ya kulevya, silaha na human trafficking), utatapeli kondoo kwa uponyaji na wadau wa maendeleo, utatumiwa na wanasiasa/wanausalama kiharamu kwa malipo au kuachwa usiingiliwe!
Hata hivyo si kila tajiri anapitia milango hii!
mf. Wasomi/ wanazuoni wana nafasi ya kupata pesa nyingi halali kwa kalamu zao!
 
Watu hutaka utajiri lakini hawapo tayari na wengi niwaoga kupita kiasi.
Kunammoja aliwahi nifuata inbox nimpe mbinu za utajiri nilimpa yakwanza kama mfano kidogo ila alishindwa.
Ndugu zangu swala lakupata mali au maarifa na siri za mali zipo ndani mwako pia ila yataka uwe jasiri sana kuuacha huo mwili wanyama nakuvaa mwili mwingine.
Nabaada yahapo nikwenda masafa mareefu sana kuuendea huo utajili na maarifa.
Ijapo kua haunamasharti yakudhuru chochote ila nikujitoa wewe mwenyewe kafara
UJASIRI MKUBWA SANA.
Nipe muongozo mkuu
 
Tupe na sisi, umasikini ni laana.
 
Back
Top Bottom