Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

Isue ya aliens lakini ina miaka mingi duniani.kuhusu Africa kuna viumbe wa ajabu waliwahi kutokea kwa muda mfupi wakaondoka huko Zimbabwe karibu na shule.
 
Isue ya aliens lakini ina miaka mingi duniani.kuhusu Africa kuna viumbe wa ajabu waliwahi kutokea kwa muda mfupi wakaondoka huko Zimbabwe karibu na shule.

Mr the dragon ,
Mkuu, angalau picha za huko Zimbabwe ilivyokuwa.

Ni kweli ni issue ina miaka mingi ila uhalisia wake ni zero yaani kwenye asilimia ni -0% .

Kwa lugha nyingine ni kuwa hakuna kitu kama hicho hapa duniani au huko wana kusema wamejificha mara wamehamia.

Soma vizuri na tafuta hata hiyo issue ya Obama niliyokuwekea hapo utaelewa vizuri kabisa.
 
Mkuu hii story nilijua ingekua na mpaka sehemu ya 3,4,5, na pengine 6-10. Wakati nasoma nikajua ndo utangulizi kumbe ndo namaliza story hivoo!!
 
aliens wapo....na njia za kuwasiliana nao kama telekinesis zipo....hawaongei kwa mdomo....ila inasemeka specie ya reptilians wamefanyiwa humanoid technology na kufanana na binadamu...so thet are among us...especially uko ulaya....UKO USA wanawatumia jamaa maana wanateknolojia y HALI YA JUU....
 

Unganisha dots na thread yangu hii hapa
The Mystery of the Engineering work of the Pyramids at Giza
 
Wazungu utawaweza wanazuga tu, hayo ni majini yao tu, tatizo wazungu hawataki waonekane ni wachawi, wakati wao ndio wakuu wa uchawi.
 

Hata hivyo usikate kwamba Aliens hawapo, wapo. CIA wali-abondon research za UFO's baada ya kuona kuwa UFO's hwana threat kwa dunia yetu. Still, hata kama wangekuwa threat, bado hatuna teknoloji ya kuweza kuwakabili, so waliona is useless na kwamba ni vitu ambavyo vingeweza kusababisha chaos na panic kwa watu wanaoishi duniani.

By the way, hizi structure hapa ametengeneza nani?

The Mystery of the Engineering work of the Pyramids at Giza
 
Mara kadhaa huwa nahisi hata hizi technology tutumiazo yawezakuwa zilitoka nje ya sayari yetu Na kuletwa kisha tukajifunza Na sasa tunamodify tuwezapo Na pengine twaongezewa maarifa Na viombe tuonao kuwa ni binadamu.
 
mimi na rafiki yangu wakati tupo secondary nakumbuka ilikua mida kama saa3 tunatoka kwenye matembezi yetu tunaelekea hostel, tuliona viumbe wa ajabu walikua wawili ni kama binadamu ila hawakua binadamu wa kawaida walikua bize na stori zao ghafla tukakutana uso kwa uso tulikosa uvumilivu kila mmoja alikimbilia njia yake tulienda kukutana hostel tusiamini tulichokiona na kila tuliemuadithia hakutuamini. viumbe wa ajabu wapo wazungu watawaita alliens ukija kwetu utasikia vibwengo nk ila kwa wataalam ndio wanaweza kuchunguza na kujua maisha yao technology yao wanaishi wapi nk. ila ni kweli wapo.
 
Wakija tuwakamate halafu tutafute machangudoa wazae nao tuone cross breed zao katika nchi ya viwanda na maendeleo ya Tekinolojia
 
walikuwaje kiumbo..?
 
walikuwaje kiumbo..?
walikua na kimo cha wastani, ila umbo lote lilikua ni kiza kitupu haikua rahisi kujua pua inafananaje mdomo macho nk ata kujua wamevaaje haikua rahisi ila wote walikua wanafanana kimuonekano, na wakati wanakuja kwa mbali kila mmoja wetu alijua ni binadamu wa kawaida, ilikua tunapita kwenye njia nyembamba iliyonyooka kiasi ata kama tungepishana ilikua watupishe au tuwapishe wapite nafikiria kama tungepata comfidence ya kuwasogelea kwa ukaribu huo sijui nini kingetoke.
 
umesema walikuwa kama wanapiga story haukuweza kusikia sauti zao..? je,zinafanana na binadamu..?
wkt mnaanza kukimbia wenyewe walichukua hatua gani(walisimama,walikimbia,waliendelea kutembea) nini walifanya wkt mnachukua hatua ya kukimbia..?
maelezo ya mwenzako na yakwako yanaendana kwa kile mlichokiona..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…