Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

Watoke nchi jilani waingie hadi katika nchi nyingine hadi katika hilo poli kisha watie mgomo
Wakati huo
1. Jeshi la uhamiaji wamewaangalia tu
2. Walinzi wa hifadhi wamewaangalia tu.
3. Jamii ya wamasai (wenyeji) waliwaona ni wageni wakawaacha kabisa bila kuwapiga au kuleta mgogoro.
Undondocha unaanzaga hivi hivi
Uingie nchi jirani kwa wingi ule, mfanye vurugu, halafu muondoke bila kukamatwa?
 
Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo,

Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu

Imebainika kuna kundi la Wamaasai kutoka nchi jirani (nchi hiyo nimehifadhi kwa jina) waliingia nchini kuzuia uwekaji wa mipaka katika pori hilo na baada ya kushindwa kutimiza azma hiyo walikimbia na kurudi katika nchi hiyo ya jirani wakiwa na majeraha

Ikukumbukwe kuwa zoezi la uwekaji mipaka ni kwa ajili ya kulinda uhai wa wa pori dhidi ya shughuli za binadamu kwa kuwa pori hilo ndilo uhai wa hifadhi za Serengeti na Ngorongoro.

Pia mipaka hiyo itasaidia kuzuia wawindaji haramu na wafugaji kuingiza mifugo katika pori hilo na katika hifadhi za Ngorongoro na Serengeti _ hususan kutoka nchi jirani ambao wamekuwa na mazoea na kujinuifaisha na maliasili zilizopo Nchini Tanzania

Wito kwa Watanzania kuiunga mkono Serikali kwa kuwa zoezi la uwekaji mipaka katika pori hilo linamanufaa makubwa kwa Taifa kwa linalinda maliasili kwa maslahi ya vizazi vya sasa na baadae

Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
umelipwa kiasi gani mkuu
 
Si dhambi kulinda maslahi ya taifa kwa gharama ya miguu masai
 
Ashakum si matusi, ila wewe mleta mada ni mpumbavu kupindukia. Sijui huwa mnaona sifa gani kuitaja Kenya na wakenya, kila mara mipango yenu ikigonga mwamba kisa akili zenu finyu. Wakenya watakapofika Loliondo haitakuwa kisiri siri na hapo ndipo mtakapojua kwamba hamjui. Endeleeni tu kuwadhulumu wamaasai, yakiwaafika kooni ndio mtajua kwamba mmasai ndiye aliyetangulia hii mipaka. Minyi Long'ui bure kabisa wewe, laagai busu!
 
Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo,

Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu

Imebainika kuna kundi la Wamaasai kutoka nchi jirani (nchi hiyo nimehifadhi kwa jina) waliingia nchini kuzuia uwekaji wa mipaka katika pori hilo na baada ya kushindwa kutimiza azma hiyo walikimbia na kurudi katika nchi hiyo ya jirani wakiwa na majeraha

Ikukumbukwe kuwa zoezi la uwekaji mipaka ni kwa ajili ya kulinda uhai wa wa pori dhidi ya shughuli za binadamu kwa kuwa pori hilo ndilo uhai wa hifadhi za Serengeti na Ngorongoro.

Pia mipaka hiyo itasaidia kuzuia wawindaji haramu na wafugaji kuingiza mifugo katika pori hilo na katika hifadhi za Ngorongoro na Serengeti _ hususan kutoka nchi jirani ambao wamekuwa na mazoea na kujinuifaisha na maliasili zilizopo Nchini Tanzania

Wito kwa Watanzania kuiunga mkono Serikali kwa kuwa zoezi la uwekaji mipaka katika pori hilo linamanufaa makubwa kwa Taifa kwa linalinda maliasili kwa maslahi ya vizazi vya sasa na baadae

Mungu ibariki Tanzania [emoji1241]
Kadiri mnavyozidi kusema owongo kwenye jambo hili ndiyo mnadhihirisha nia zenu ovu kwa Wamasai wa Ngorongoro
 
Tunataka maelezo ya kina ni kwa namna gani watu watoke nchi jirani, waje wafanye vurugu kwenye nchi yetu?

Tena kwa maelezo yenu wenyewe; wengine wamewahi kujipenyeza mpaka kushinda nafasi za udiwani, na nyinginezo kupitia chama tawala, huku serikali ikiwa imelala usingizi!
Huyo aliyesema wamasai toka nchi jirani wameingia kuzuia zoezi halafu wakashindwa wakakimbia kurudi kwao ni mjing fulani tu. Sijui aliemtuma hapa atamlipaje. Imagine nchi yenye serikali, wamasai wa Kenya waje hapa wafanye vurugu halafu warudi hata mmoja hajakamatwa tutakuwa na serikali gani? Unatumwa au umeamua mwenyewe kuleta propaganda jipange sio unakurupuka.
 
Uhamiaji mnashitakiwa huku njooni haraka.

Nani akubali kutibiwa ili mmkamate kwa mauaji ya polisi?

Huyo polisi alijiua kama hakukuwa na vurugu?

Kama hakukuwa na vurugu tangazo la kutibu lilitokaje?

Changanya na za kwako ndugu!!!!
 
Back
Top Bottom