Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

Uingie nchi jirani kwa wingi ule, mfanye vurugu, halafu muondoke bila kukamatwa?
 
Vitu vingine ni kujiaibisha tu sasa ndo ume andika utumbo gani we Nguchiro ?
 
umelipwa kiasi gani mkuu
 
Si dhambi kulinda maslahi ya taifa kwa gharama ya miguu masai
 
Ashakum si matusi, ila wewe mleta mada ni mpumbavu kupindukia. Sijui huwa mnaona sifa gani kuitaja Kenya na wakenya, kila mara mipango yenu ikigonga mwamba kisa akili zenu finyu. Wakenya watakapofika Loliondo haitakuwa kisiri siri na hapo ndipo mtakapojua kwamba hamjui. Endeleeni tu kuwadhulumu wamaasai, yakiwaafika kooni ndio mtajua kwamba mmasai ndiye aliyetangulia hii mipaka. Minyi Long'ui bure kabisa wewe, laagai busu!
 
Kadiri mnavyozidi kusema owongo kwenye jambo hili ndiyo mnadhihirisha nia zenu ovu kwa Wamasai wa Ngorongoro
 
Huyo aliyesema wamasai toka nchi jirani wameingia kuzuia zoezi halafu wakashindwa wakakimbia kurudi kwao ni mjing fulani tu. Sijui aliemtuma hapa atamlipaje. Imagine nchi yenye serikali, wamasai wa Kenya waje hapa wafanye vurugu halafu warudi hata mmoja hajakamatwa tutakuwa na serikali gani? Unatumwa au umeamua mwenyewe kuleta propaganda jipange sio unakurupuka.
 
Uhamiaji mnashitakiwa huku njooni haraka.

Nani akubali kutibiwa ili mmkamate kwa mauaji ya polisi?

Huyo polisi alijiua kama hakukuwa na vurugu?

Kama hakukuwa na vurugu tangazo la kutibu lilitokaje?

Changanya na za kwako ndugu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…