Orait, kwa ombi lako hili, nawaacha wale majogoo waliyonunua kwa Xmas. baada ya hapo tunawahamisha, unajua wanaleta usumbufu sana.
Sana sana tumuache eliza na wafanyakazi wachache wa Tanzania distilaries ili tuendelee kupata the needful supplies
Sasa ngoja nione jangili yeyote analeta italics zake hapa.yes gud idea!!!!!
kuna demu moja ilikuwa ni rahisi sana kutoka nae. Ukimsifia leo mama umekaa kinyegenyege tu basi lazima ukale nae tunda! Anlinika kabisa 🙂Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee
Kuna mtu humu JF ana ID inaitwa NYEGELESHA sasa sijui kama ni mwanamke
we kimey unaongea nini?upende ubeberu wa mtu?
liharufu iloo mpk pua inataka kuchomoka ....
....wewe aujakutana nao uko tosamanga sjui maua seminar miaka iyo?azania ivi ,umbwe sjui old mosh..
...au ata ukiingia kwenye mabwenya kina kaka utapata habari yake..kuna harufu nzitoooooooo ...
...kipind kileee mabibo hostel km una mpango wa kumuazima desa mkaka basi uende mapema na si jion wakat weng wanakuwa wamerud lekcha yan usiingie blok E na D na C...
UKIKUTANA NA MWENYE KIBEBERU NAKWAMBIA UTAJUTA....lakin kuna demu nilisoma nae adv ahh sjui ananuka kigunia yule?demu anatema 24 7 ata km akitoka kuoga dk iyo io kitu utakiskilizia tu bt ahh men wake alikuwa anampenda uyooo kila visitng dei uyooooooo kaja na michezo ya apa na pale ming tu sa sjui alikuwa na PUA MBOVU... ahhh...
Hahahaaa umenivunja mbavu mami..ahh kuna ubebebru mwngne ata akiogea ndimu kitu kinabak constant....mkijifungia chumbani aahh mbona utataman uchoropokee dirishan..
m so lucky to gt yu
cz u smelll z so sweeeeeeeetie n cul ..infact is ma nutrional!!
habar yake bgrta banaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
watakatifu majangiri hawajaamka bado?
mimi simwambiagi kitu....ni yeye huwa ananiambia....ila wangu hanidanganyi
]Rosey mbona umekomelea ivo bana?..Ila wacha ukweli USEMWE .Mara nyingi vijana wadogo ( wasichana kwa wavulana) personal hygiene ni issue. Ukichunguza sana ni class issue pia tupende tusipende.Unakuta mtu alivyokuzwa usafi binafsi wenye kutumia maji mengi haukutiliwa mkazo huenda ni kwa sababu ya ukosefu wa maji safi na salama katika distance inayowezekana.
Vyuoni ndimo wengi huanza kujifunzia usafi kwa kukuta huduma hii muhimu ipo na pia kuchanganyika na watu wengine na polepole kuanza kuiga desturi njema za usafi.Kadiri mtu anavyozidi kuendelea mbele kutoka chuo hadi kazini anabadilika zaidi na kujua kujinunulia deodorants na zana nyingine za usafi.Anapata exposure zaidi n KUJITAMBUA na kujua kuwa kumbe zile harufu za kibeberu ambazo walikuwa wanajidanganya kuwa ni za kiume siyo!
Ukweli usemwe tu.... mijiharufu ya mwili itikanayo na uchafu au excessive hormone secretions ni KERO!
This is character assassination of the saints....You are seriously warned
kuna demu moja ilikuwa ni rahisi sana kutoka nae. Ukimsifia leo mama umekaa kinyegenyege tu basi lazima ukale nae tunda! Anlinika kabisa 🙂
Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee
Hahahaaa umenivunja mbavu mami..
mbona jana ulishiriki katika mpango mkakati wa kumsasinate...!
mambo ya mbinguni yale wewe huyajui sikuizi
nikiachika ntakuja.
wanawake tulishawaelewa wanume,in short mi hata sifa sizihitaji kama nakuhitaji nitakukubali otherwise we imba,sifia,nunua chochote,nipeleke popote sina time na wewe.msisahau pia uwezo wa kudanganya si suala la jinsia ya kiume pekee,tuna uwezo wa kudanganya mara 50 ya wanaume,na uongo wetu ni mkubwa na mbaya na usioweza gundulika hadi siku ya ufufuo.....so it goes both way,usijione we kinara kumbe hujui na ukijua yaweza kuwa mwanzo wa safari yako kuelekea kuzimu.
wanawake tulishawaelewa wanume,in short mi hata sifa sizihitaji kama nakuhitaji nitakukubali otherwise we imba,sifia,nunua chochote,nipeleke popote sina time na wewe.msisahau pia uwezo wa kudanganya si suala la jinsia ya kiume pekee,tuna uwezo wa kudanganya mara 50 ya wanaume,na uongo wetu ni mkubwa na mbaya na usioweza gundulika hadi siku ya ufufuo.....so it goes both way,usijione we kinara kumbe hujui na ukijua yaweza kuwa mwanzo wa safari yako kuelekea kuzimu.