Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Watu wengi wamekuwa wakiwasifu ndugu zangu kabila la kisukuma kwa kuwa wakarimu, lakini pia kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwananga Wsukuma kwa kuwasema kuwa hawana ukarimu bali ni watu wenye roho mbaya, hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na ile inayowasifia wasukuma.
Ukweli ni huu hapa unapofika Usukumani hasa kama wewe ni mgeni na lengo lako ni kutafuta maisha utapokelewa kwa bashasha na kila huduma nzuri utaipata kama chakula na mengineyo.
Sasa basi baada ya muda mfupi umejitafuta na umejipata yaani umeanza kuwa na mafanikio ya hapa na pale.
Hapa sasa ndio utaanza kumfahamu Msukuma vizuri, ule ukarimu aliokuwa anakuonyesha hubadilika polepole na kuanza kukuonesha tabia yake halisi.