Ukweli kuhusu Wasukuma na neno "ukarimu"

Ukiondoa ushamba na tabia nyingine, wanawake wa Kisukuma ni waaminifu na wana heshima sana. Na hilo naongelea uzoefu nilikuwa nao.


Ila Sasa kupika...dah! Watani zangu.....Nyanya,kitunguu,maji,chumvi,samaki na maji vinawekwa Pamoja Kisha vinachemshwa. Vikiiva mboga tayari!😁
 
Hubu tubainishie wewe ni kabila gani?
Ili tuwasifu roho zenu nzuri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…