Kalamu ya Mwananchi
Senior Member
- Oct 27, 2020
- 100
- 552
Ili kutatua tatizo, lazima tufahamu chanzo chake. Lasivyo tutaishia kurudia yale yale.Hapa ndipo ulipo mzizi wa matatizo ya waTanzania.....tunapenda sana kulalamika pasi na kuchukua hatua......ukiutazama muundo wa katiba na hali ya kisiasa na kiutawala kwa wakati huo hii katiba ilikuwa inaendana na matukio ya nyakati hizo......
Lakini matukio na nyakati zimebadilika na sisi ndio watu wa nyakati hizi na tunayashuhudia matukio yanayoashiria umuhimu wa katiba mpya je tunachukua hatua gani.....??
Je kuwalaumu marehemu kutatupatia tunachokihitaji kwa nyakati hizi......??
Turudi kwenye uhalisia wa mambo unaoendana na nyakati za sasa....ili tujenge hoja za msingi...
Tusimulaumu mwalimu tuPambane kudai katiba mpya ikapatikana tuWatu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia.
Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere. Yeye ndo alitaka "a strong executive with necessary control of the legislature", alitaka katiba inayomfanya kuwa kama mfalme. Kipindi hicho Fundikira waziri wa katiba na sheria, aliona madhara ya hilo na akawa anasuggest rais asiwe na nguvu sana. More like a ceremonial president. Mfumo huu mara nyingi huwa unazuia utawala wa mabavu. Lakini in the end Nyerere akapata katiba anayoitaka.
Utawala wa Nyerere ulikuwa defined kama authoritarian, ambayo ni just a diplomatic way of saying a dictatorship.
Mtu mwenye maono asingethubutu kuacha hii katiba iendelee kutumika wakati anatoka madarakani.
Mwishowe katuachia dubwasha ambalo kupambana nalo itaishia kuwafanya watu watumie nguvu ili kurudisha usawa na haki katika jamii.
Laiti makamanda wengi wangekuwa na mtazamo kama wako, change ingewezekana baada ya muda fulani. Tatizo makamanda wengi wanatumia nanii kufikiri badala ya kutumia akili!Je kuwalaumu marehemu kutatupatia tunachokihitaji kwa nyakati hizi......??
Turudi kwenye uhalisia wa mambo unaoendana na nyakati za sasa....ili tujenge hoja za msingi...
Huku waimba mapambio wakina mzee Kawawa wakioneka ma-hero na watu walikuwa na maono tofauti Kama wakina Kambona wakionekana ma-snitch wa taifa.We ulikuwa hujui lawama zote hizi za Nyerere?..hata vyama vingi vilikuwepo kabla Nyerere hajawa Rais akafuta..
Media freedom akafuta
Ikabaki 'zidumu fikra za Mwenyekiti'
UN ndio walitupa Uhuru hilo kumbuka. Hatujapigania uhuru ndio maana tumekaa kiboya boya tu. Uhuru tulipewa kwenye kisahani, soma vitabu vya History utabaini hilo.Nyerere ni untouchable ila huyu ndio alikua dictotor sasa. Amefunikwa na kivuli cha aliipatia uhuru tz ambapo qsingefanya yeye angefanya mwingine..
Kwani mie nimesemaje? Hata kama ni uhuru wa kupewa ila lazima kuwepo na mtu wa kumkabidhi ndio alikuwapo nyerere, hivyo atatbulika kuwa ni aliyetupatia uhuru...UN ndio walitupa Uhuru hilo kumbuka. Hatujapigania uhuru ndio maana tumekaa kiboya boya tu. Uhuru tulipewa kwenye kisahani, soma vitabu vya History utabaini hilo.
Kwanza, UN walitaka kutupa Uhuru kabla ya mwaka 1961 nadhani ilikuwa mwaka 1957 hv bila Shaka kabla hata ya Ghana.
Lkn maandalizi yakawa bado Kwa upande wa TZ.
UN waliwapa Uingereza jukumu la kuiandaa TZ kwa ajili ya kujitawala.
History ya O level inaelezea hivyo straight away
Duuuu umeua kabisa. Mwisho wa uziSawa katiba kipindi cha Nyerere ilikuwa na mapungufu. Lakini tujiulize ni miaka mingapi tokea ameachia madaraka mpaka sasa? Je kuna kinachokataza kufanya amendments kwenye katiba yetu kwa muda wote huo?
Sometimes tunalaumu bure tu. Ni sawa na wewe uzaliwe kwenu maskini halafu na wewe uzembee usitoke kimaisha halafu unaanza kulaumu unasema "babu yangu alikuwa wapi wakati wazee wengine wanashika mashamba zamani?".
Kama unaona babu alizingua basi wewe pambana ili wajukuu zako wasije nao wakakulaumu baadae.
Huyo ndio Hayati JK NyerereWe ulikuwa hujui lawama zote hizi za Nyerere?..hata vyama vingi vilikuwepo kabla Nyerere hajawa Rais akafuta..
Media freedom akafuta
Ikabaki 'zidumu fikra za Mwenyekiti'
Hapo ulipo umefika mwenyewe usimsingizie Mwalimu.Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia.