Ukweli lazima usemwe kesho Simba SC hamtoki salama

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke

Yellow national ๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’› Cc ephen_
20240805_203954.jpg
 
Labda Refa atoe Red Card au Penati...!

Kwa kile Kilichooneka Siku ya Mwananchi..! Vile vichezaji Vibabu ndo havitatoka Salama...!
refa alichezesha mpira ipasavyo red card ilitoka ilivyostahili yule mchezaji inabidi afundishwe nidhamu!,mtu katoka nje kaumia unatibiwa unarudi ndani kufanya nini...? na tayari alikuwa na njano,ile penati unasema yakupewa yule mkabaji uliona alikaba mpira au alikaba mtu! kama na haya mpk mfundwe basi hamjui mpira!..

kauli ni hii tu.. tunapiga palepale kwenye mshono na uzuri mmevaa sanda tayari hashtag #HATUSAFIRISHI jambo litakapoanzia ndipo litakapomalizikia!.
 
Simba akifungwa hiyo kesho, hakika mji utatulia.
Halafu hii dhana ya kwamba yanga wakishinda huwa hakuna makelele mji unatulia sijui imetoka wapi, kati ya hizo timu mbili hakuna hata mmoja ambaye akishinda mji unatulia acheni kujifanya ninyi yanga ndio wastaarabu, wote simba na yanga huwa mnatupigia makelele tena yanga kelele zenu ndio huwa za kishamba
 
Debra Feandez Mavambo, Joshua Mutale, Mukwala, Kibu Mkandaji, Aweso, Kelvin Kijiri. Kesho ziongezwe Ambulace naona Mahakama wamemtimua busara kuahirisha hukumu ili kuondoa visingizio vya kipigo
 
Halafu hii dhana ya kwamba yanga wakishinda huwa hakuna makelele mji unatulia sijui imetoka wapi, kati ya hizo timu mbili hakuna hata mmoja ambaye akishinda mji unatulia acheni kujifanya ninyi yanga ndio wastaarabu, wote simba na yanga huwa mnatupigia makelele tena yanga kelele zenu ndio huwa za kishamba
Kumbe upo ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
refa alichezesha mpira ipasavyo red card ilitoka ilivyostahili yule mchezaji inabidi afundishwe nidhamu!,mtu katoka nje kaumia unatibiwa unarudi ndani kufanya nini...? na tayari alikuwa na njano,ile penati unasema yakupewa yule mkabaji uliona alikaba mpira au alikaba mtu! kama na haya mpk mfundwe basi hamjui mpira!..

kauli ni hii tu.. tunapiga palepale kwenye mshono na uzuri mmevaa sanda tayari hashtag #HATUSAFIRISHI jambo litakapoanzia ndipo litakapomalizikia!.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom