Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

yaani mkisha vimbiwa makande yenu mnakuja huku kutujambia. kwa taarifa yako huku nilipo watu wanamuelewa sana
Hahah wapi huko?
Yani Na kuzurula kwangu sjawahi kukutana na mtu mtaan anaemsifia sa100
 
Kwamba Mtanzania aliepo songea na sumbawanga anasema hamuelewi Rais Kwa sababu ya wamasai Ngorongoro??..
Uzushi mwingine hauna hata haya..
Waliopo Dar Tu hawajali lolote kuhusu wamasai wa Ngorongoro...
Dunia ni kijiji , halafu kama ngorongoro imeuzwa usalama wa Songea unatoka wapi ?

Anayekula nyama ya mtu haachi - JK NYERERE
 
Mlivyomsifia kipindi kawa rais ungedhani alikuwa ni mwema muweza wa yote [emoji1787]
Alianza vizuri mfumo ukampindua! Kilichobaki ahakikishe anamaliza muda wake salama bila kusababisha umwagaji wa damu. Asikubali kupotoshwa zaidi.
 
Nani mwenye akili timamu amuelewe huyo msaliti?
 
Huku kitaa watu hawaelewi kabisa.

Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari.

Ushauri.

Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
Hivi wabunge walikula mlungula wa shng ngapi kmmke..!!
 
Huku kitaa watu hawaelewi kabisa.

Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari.

Ushauri.

Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
Vijana laki na ishirini ndiyo watajiunga na kidato Cha tano,ni kidogo Sana, watanzania wengi mbumbumbu...ukihangaika kuwaelewesha na kuwaridhisha utachelewa,unawaswaga tu Kama ng'ombe
 
Nipo Songea bombambili simuelewi, alianza vizuri Ila wameshamuingiza kwenye mtego, watu niliokutana nao Leo cjaona hata mmoja anayeunga mkono nchi inavyokwenda,
Kila mtu anamashaka.

Lambda kama analamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…